Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Sasa ukiwa na Dr.Dre na Scott Storch unategemea nini zaidi ya mauaji tu [emoji23][emoji23][emoji23]!

Hadi leo hii best of 5O cent tracks unaweza ukajaza server, binafsi simpendagi jamaa kwa attitude yake ya kiduanzi huwa anagombanaga na kila mtu
yani ila hits alikuwa nazo in his prime time.
Ukiachana na maisha binafsi 50 CENTS kwenye Muziki alikuwa habari nyingine yaan ni moto wa kuotea mbali.
 
Alafu 50 alikalishwa na ja rule akaja kupotezwa na Lili wayne!
Ja rule alimkalisha 50 mwaka gani we mbugila? Mbona unalazimisha vitu ambavyo havipo. On his prime 2003 - 2007 hakuna mtu alimuweza 50 Cents.
Bifu lake na Kanye West 2007/08 ndio kidogo lilimtikisa, hao akina Lil Wayne si ndio walikuwa wanamjibu I GET MONEY na wao wakaachia I GOT MONEY??

50 Cents alikuwa mnyama, na hata this time akienda kwenye Show like ile iliyofanywa kwa pamoja na Dr. Dre, Eminem, Snoop Dogg nk bado alikiwasha ila mbaya.

To me hakuna msanii wa HipHop Marekani ameweza kufikia level ya 50 Cents katika ubora wake. Ilikuwa hit after hit hana ngoma mbovu.

Tuache ushabiki wa kizamani, Ukiacha NEW YORK una ngoma yoyote ya JA RULE inaweza hata kuingia mbele ya ngoma ya 50 hata ile WANKSTA.??
 
Huyu jamaa kile kiplasta chake pale shavuni [emoji3][emoji3][emoji3] mabishoo wa bongo walijua ni style kumbe jamaa alikua anaficha kovu [emoji1][emoji1][emoji1] mbele unyamwezi mwingi saaaanaaa [emoji482]
Kumbe alikuwa na kovu?nilikuwa sijui aisee
 
Sam Smith
Sauti yake nzuri sana

Fire on fire would normally kill us
But this much desire, together, we're winners
They say that we're out of control and some say we're sinners
But don't let them ruin our beautiful rhythms
 
Oyaaa ...balaa na nusu
My pride il all I have
The pride is what I have baby am what you have
You will be needing me bad too bad
Be easy babes don't make decisions when you are mad
Huu wimbo una mashairi mazuri sana
 
Aaliyah- miss you, throw your hands up,we need a resolution,back and forth, are you that somebody,4 page letter, etc

Mobb deep- shook ,survival of the fittest

Michael Jackson - stranger in Moscow,human nature,thriller, you are not alone

Destiny's child -survival ,say my name ,bills bills bills, Happy face

Kwa kifupi old school za USA zote nazikubali
 
We jamaa mziki umeenza kufatilia juzi itakuwa, yaan 50 abebwe na The Game??
Achana nae huyo huko juu anakuambia 50 alikuja kupotezwa na lil wayne[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ja rule alimkalisha 50 mwaka gani we mbugila? Mbona unalazimisha vitu ambavyo havipo. On his prime 2003 - 2007 hakuna mtu alimuweza 50 Cents.
Bifu lake na Kanye West 2007/08 ndio kidogo lilimtikisa, hao akina Lil Wayne si ndio walikuwa wanamjibu I GET MONEY na wao wakaachia I GOT MONEY??

50 Cents alikuwa mnyama, na hata this time akienda kwenye Show like ile iliyofanywa kwa pamoja na Dr. Dre, Eminem, Snoop Dogg nk bado alikiwasha ila mbaya.

To me hakuna msanii wa HipHop Marekani ameweza kufikia level ya 50 Cents katika ubora wake. Ilikuwa hit after hit hana ngoma mbovu.

Tuache ushabiki wa kizamani, Ukiacha NEW YORK una ngoma yoyote ya JA RULE inaweza hata kuingia mbele ya ngoma ya 50 hata ile WANKSTA.??
Na 50 huyuhuyu aliwarudisha kwenye game mobb deep ila wakashindwa tu kutumia nafasi waliyopewa...........
 
50 alikuwa anabebwa na the game na yule producer wake nimesahau jina lake.
Yaani the game asainiwe na 50 pale g unit afu ampoteze 50.? Hahahah yaani the game ukitoa nyimbo ile ya how we do na hate it or love it alizoandikiwa na 50 cent tupe nyingine aliyoandika yeye kama yeye afu akafikia level za zile 2
 
Ja rule alimkalisha 50 mwaka gani we mbugila? Mbona unalazimisha vitu ambavyo havipo. On his prime 2003 - 2007 hakuna mtu alimuweza 50 Cents.
Bifu lake na Kanye West 2007/08 ndio kidogo lilimtikisa, hao akina Lil Wayne si ndio walikuwa wanamjibu I GET MONEY na wao wakaachia I GOT MONEY??

50 Cents alikuwa mnyama, na hata this time akienda kwenye Show like ile iliyofanywa kwa pamoja na Dr. Dre, Eminem, Snoop Dogg nk bado alikiwasha ila mbaya.

To me hakuna msanii wa HipHop Marekani ameweza kufikia level ya 50 Cents katika ubora wake. Ilikuwa hit after hit hana ngoma mbovu.

Tuache ushabiki wa kizamani, Ukiacha NEW YORK una ngoma yoyote ya JA RULE inaweza hata kuingia mbele ya ngoma ya 50 hata ile WANKSTA.??
We jamaa ni kiazi mziki hujui!
 
Yaani the game asainiwe na 50 pale g unit afu ampoteze 50.? Hahahah yaani the game ukitoa nyimbo ile ya how we do na hate it or love it alizoandikiwa na 50 cent tupe nyingine aliyoandika yeye kama yeye afu akafikia level za zile 2
Acha ubishi mkuu baada ya the game kuondoka huoni G unit ilivoyumba na 50 mwenyewe akawa hasikiki tena!
 
Ja rule alimkalisha 50 mwaka gani we mbugila? Mbona unalazimisha vitu ambavyo havipo. On his prime 2003 - 2007 hakuna mtu alimuweza 50 Cents.
Bifu lake na Kanye West 2007/08 ndio kidogo lilimtikisa, hao akina Lil Wayne si ndio walikuwa wanamjibu I GET MONEY na wao wakaachia I GOT MONEY??

50 Cents alikuwa mnyama, na hata this time akienda kwenye Show like ile iliyofanywa kwa pamoja na Dr. Dre, Eminem, Snoop Dogg nk bado alikiwasha ila mbaya.

To me hakuna msanii wa HipHop Marekani ameweza kufikia level ya 50 Cents katika ubora wake. Ilikuwa hit after hit hana ngoma mbovu.

Tuache ushabiki wa kizamani, Ukiacha NEW YORK una ngoma yoyote ya JA RULE inaweza hata kuingia mbele ya ngoma ya 50 hata ile WANKSTA.??
Ukweli sana mkuu. Hakuna msanii pale US anaweza piga show za kibabe km 50 kwenye HIP HOP. achana na kina kanye sijui wavae manguo mapana na nini. Mnyama anapiga show pale jukwaani mpaka unajua yes this is 50
 
Unamjua OutKast au unaongea kiushabiki mkuu!
 
Back
Top Bottom