Ja rule alimkalisha 50 mwaka gani we mbugila? Mbona unalazimisha vitu ambavyo havipo. On his prime 2003 - 2007 hakuna mtu alimuweza 50 Cents.
Bifu lake na Kanye West 2007/08 ndio kidogo lilimtikisa, hao akina Lil Wayne si ndio walikuwa wanamjibu I GET MONEY na wao wakaachia I GOT MONEY??
50 Cents alikuwa mnyama, na hata this time akienda kwenye Show like ile iliyofanywa kwa pamoja na Dr. Dre, Eminem, Snoop Dogg nk bado alikiwasha ila mbaya.
To me hakuna msanii wa HipHop Marekani ameweza kufikia level ya 50 Cents katika ubora wake. Ilikuwa hit after hit hana ngoma mbovu.
Tuache ushabiki wa kizamani, Ukiacha NEW YORK una ngoma yoyote ya JA RULE inaweza hata kuingia mbele ya ngoma ya 50 hata ile WANKSTA.??