rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Chingy umlinganishe na 50! acha utani weweee Chngy zaidi ya Balla baby na Right thur ana ngoma gani kali nyingine?Simchukii naenda na ukweli na facts wapo waliomfunika kama kina nelly akina chingy na wengineo kama kina OutKast
Upo sahihi mkuu Outkast ni kundi sio mtu mmoja yupo Andre Benjamin ambaye ndiye huyo Andre 3000 na jamaa mwingine anaitwa Big BoiOutkast ni kundi (andre3000 + somebody Benjamin)sio mtu mmoja,sifa yao ni kuandika rhymes kali za hip hop kama kina common,Mos Def,talib kweli,Q tip,the Roots and the likes na nzuri sio show/perfomance kali
Whats up G haikuwa ngoma kali sanaNyimbo aliyoandikiwa what up gangster
Chingy hakupata platform sabab sio mkaliKuna ile pulling me back mbona chingy anazo ngoma nyingi tuu! Au kwa vile 50 alipata platform xna!
Ja rule, Fat joe na Fabolous changanya ngoma zao kali zote kiujumla halafu kwa 50 weka "Many men (wish death) tu. Hawatoboi50 alikuwa wakawaida sana uliwahi msikiliza ja rule au fat joe au Fabolous au hata dmx chocolate baby!
Pamoja mkuuWe jamaa ni oldskool hasa[emoji119] kwa mara ya kwanza kuona mtu humu Jf kawataja 8 Ball & MJG wahuni kutoka Memphis Tennessee. Bubba Sparrxx wa Ugly[emoji2] Timbaland na Magoo marafiki hawa[emoji2] Bun B wa Put it down[emoji119]
Nilikujibu kwa vile umesema ukiachana na New York, Ja Rule hana ngoma zinazoweza fika hata level ya wanksta ya 50 Cents. Kwa kifupi umemchukulia poa sana Ja Rule na ndio maana nimekuwekea list ya ngoma ambazo ziko beyond hiyo wanksta kwenye platforms.Yaan hizo nyimbo ni nzuri ukizifananisha na zipi za 50 labda???
Huyo 50 alikuwa na tuzo moja tuu!
O.p.p?Naughty by nature kuna ngoma yake ilivuma sana
Malcom nakusalimia sijakuona kitambo.Binafsi kwa Marekani huwa nasikiliza muziki kutokana na vizazi:
A. KIZAZI CHA KALE WEUSI
1. Ray Charles
2. Louis Armstrong
3. Nina Simone
4. Nat King Cole
5. BB King
6. Ella Fitzgerald
7. Marvin Gaye
8. Aretha Franklin
9. Diana Rose
10. Smokey D Robinson
11. Al Greene
12. Michael Jackson
13. Barry White
14. Sam Cooke
B: KIZAZI CHA KALE BENDI
1. The O-Jays
2. The Temptations
3. The Four Tops
4. The Supremes
5. Jackson 5
C: KIZAZI CHA KALE WEUPE
1. Johhny Cash
2. Dolly Parton
3. Elvis Presley
4. Bob Dylan
5. Sting and THE POLICE
6. Janis Joplin
7. Freddy Mercury and QUEEN
etc, etc,......
Prishaaaaaz! Always happy to see you around.....Malcom nakusalimia sijakuona kitambo.