Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Kwangu ni Changes, Breathin, This life i lead, 2 of Amerikaz most wanted, So many tears, California love remix...Ukiwa na kinu cha maana utaelewa vizuri kwanini nazielewa hizi ngoma.
Nilichogundua watu wengi huipenda california love remix, ila mimi naielewa sana ile original version. Ile beat ina ufundi mwingi sana mule.
 
NELLY alikuwa komesha ya mabishoo dunia nzima . Jamaa ukisikiliza nyimbo zake ndio utajua hata bongo freva ni jina tu lakini asili ya uimbaji imetokea kwa huyu fala . miaka ya 2000 ilikuwa huwezi kuwa bisho bila kumtambua Nelly.

Lil Flip na kibao chake sunshine ft lea je? Jamaa nae bishoo enzi zake hatari
 
Mimi mpaka sasa huwa nasikiliza nyimbo za kitambo za kizungu na mtoni ila za kibongo sizijui kabisa, makavel, scarface, luther vandross, eminem, kylie minogue nk napenda sana nyimbo za kizungu
 
Prishaaaaaz! Always happy to see you around.....
Mimi naendelea vizuri kabisa ndugu yangu...
Kuna siku hapa katikati nilikukumbuka kweli.

Hope, you're doing well.........
Mimi pia nilikukumbuka kidogo nimtume Chige akutafute lakini nilifurahi jana kukuona doing great baridi kali hope you do too.

Vile uzi unahusu muziki ngoja nikuachie hii usikilize jioni...

 
W
Huyo 50 alikuwa na tuzo moja tuu!
Wee Jamaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata kina jay z hao kwa tuzo kwa 50 walikua wachumba tu. Tuzo kubwa zoote 50 kabeba kabla ya kina jay sio hao unaowasemea
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…