Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Hizi ni za kunasikiliza watu tusiopenda makelele,Mara nyingi pakiwa na utulivu,asubuhi,jioni au usiku hivi kama ni mchana basi mazingira yasiwe ya Jua Kali kama ni nje kivulini au ndani pasiwe na joto Kali ili akili na mwili viwe vime relax vizuri.

Maria Carey-I still believe
Whitney Houston-Heartbreak hotel
Caraig David-Seven Days
Backstreet boys-Show me the meaning
Westlife-Soledad
Whitney- Didn't we almost have it all
Celine Dion-Immortality
Celine Dion-Goodbye
Spice girls-Viva forever
Spice girls-To became 1

Dah! Zipo nyingi ila acha ikae hivyo..

Hizi zinanikumbusha mbali sana,nikiona Celine alivyobadilika afya kwa kuugua sijui ugonjwa gani ule huwa nasikitika sana sababu ametumia umri wake na kipaji kuufariji na kuburudisha ulimwengu,Mungu amfanyie wepesi.
RIP Whitney Houston uliondoka ghafla ulimwengu ukikuhitaji bado.,

Nahisi maisha zamani yalikuwa mazuri,sijui ni kweli au ni akili yangu tu.
 
Kuna ngoma inaitwa there is a danger in loving somebody too much,sijawahi choka sikiliza adi leo!
 
Ningeshangaa huyu Mwamba wa hiphop T.I anasahaulika vipi kwa ngoma kali yenye ujumbe mahiri kabisa.

Natasha Bedingfield - Angel niliyomwimbia Binti "X" hadi alinizawadia kipochi manyoya.

Britney spears - I was born to make you happy.

Tony Braxton - Yesterday.

Justine Timberlake - What's goes around comes around.

Brand - Right here departed

Marc Anthony - I need you.

Ila T.I na Tony Braxton nawakubali saaaana.
 
Simchukii naenda na ukweli na facts wapo waliomfunika kama kina nelly akina chingy na wengineo kama kina OutKast
Basi mm sibishani na wewe tena hahaha yaani nelly yule amemfunika 50??? Na kanyimbo kamoja.? Basi mkuu tuishie hapa👋🏻👋🏻
 
Huyo jamaa ananichekesha yaani ni sawa na kusema harmonize kamtoa diamond au anambeba mond. Hahahah
Game alisainiwa na dr dre kwanza acheni ubishi usio na maana na mjue alisaini g unit lini! Facts ndio nataka.
 
Game alisainiwa na dr dre kwanza acheni ubishi usio na maana na mjue alisaini g unit lini! Facts ndio nataka.
Sawa. Dre ndio alimuombea asainiwe na 50 kule G unit ili abebwe. Na akabebwa kweli maana tukitoa zile nyimbo 3 alizoandikiwa na 50 hana nyingime kali kama zile
 
Back
Top Bottom