Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Wakaanza kuzungmzia wale walikua wanakata mauno 🤣afu kuna wale kinyampo
 
Mimi nachoona wajifunze kupangilia script vizuri na mtiririko ueleweke or else mimi na mgumu sana na stand up comedy za kibongo..huo ndo ukweli.
Aaah SAWA maoni Yako ni mazuri Mimi kama shafii brand naya chukua naenda kuyafanyia KAZI
 
Wewe unakuwa serious sanaaa na maisha ndo maana jaribu ukipata muda angalia hizo comedy
kila ninapojaribu kuangalia, AIBU naona mimi,....waigizaji ili wachekeshe ni mpaka watamke maneno ya kipuuzi,. kama,..kujamba, kupeleka moto, n.k...wavae hovyo na kuwa na unusual facial expressions,...total rubbish 🚮🚮🚮
mkojani,..
clam
tin white
maufundi
steve mweusi
mwakatobe
twins nation
mchina
n.k🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…