Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Al RIYAMY ILIKUA YA KING MAJUTO??
 
Joti.

Alianza na comedy kweli, lakini sasa anaact matusi ambayo kwa comedians wengi wa bongo huita comedy
Joti anatuchukulia wote ni watoto.

Ukishaona comedian kuchekesha ni mpaka avae maguo ya ajabu ajabu kama Kingwendu ujue kaishiwa mbinu.

Joti aliyekuwa kwenye orijino komedi alikuwa anachekesha kikubwa sana, tofauti na saizi ambapo most of his content is full of nudity childish.
 
wengi wanatokea kwenye shorts za YouTube na tiktok
wakija kwenye stand up comedy inawachubua kama kuna mmoja nimeona video yake kapanda kwenye jukwaa kafanya igizo

angalau Leonardo na eliud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…