Huyu Mkojani hii character ishakua ya hovyo tofauti na movies za kwanza.
Na yeye hajui kitu tena.
Kuna huyu anajiita Mr Pimbi na kikundi chake.
Mapochopocho ni wa hovyo. Kuna jamaa ni mfupi yupo mule with the right script anaweza kua mchekeshaji mzuri.
Nani tumpe lawama? Al Riyamy, ambaye kila mtu mwenye disability alimterm kama comedian na kufosi awe kwenye screen. Legendary kama Majuto akawekwa na below average actors na yeye akaonekana mbovu.
Mpoki na Joti siku hizi hamna kitu.
Eric hamna kitu, Shangazi hamna kitu, Mangi Mtata hamna kitu, anyway, Al Riyamy yote ilikua hamna kitu ukitoa Defender, Kinyambe na Majuto.