Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
- Thread starter
- #201
Badala ya kucheka sanaa yao unajikuta unamcheka msaniiSahihi lkn kuna wachekeshaji wanalazimisha game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badala ya kucheka sanaa yao unajikuta unamcheka msaniiSahihi lkn kuna wachekeshaji wanalazimisha game
Naelewa, ila ndio hivyo wataendelea kubaki mediocre siku zote mpaka mambo yatakapobadilika.Watu waogopa waki punch up vitumbua vitaingia mchanga...
Ddio na mara nyingi iko hivyoBadala ya kucheka sanaa yao unajikuta unamcheka msanii
Ningekuwa najua anapoishi ningempa hata ploti alime nyanya chungu tu
Cha kwanza mimi sio dada, kwa uwezo tu nilio nao naweza kumfanya hata baba yako awe mke wangu.Yaani umetoka huko kuja kumfungulia sledi mwanaume anaefaiti kupata riziki. Dada usidharau kazi ya mtu yeyote. Asiefanya kazi na asile. Kama hakufurahishi pita mbali.
Yaani nifungue genge la nyanya halafu uje useme biashara yangu haikufurahishi?! acha umama
Hacheki na wowoteMkuu huwezi kuchekeshwa na kila mtu
Kwahiyo wasukuma sio PIPO mkuuHachekeshi watu mkuu..anawachekesha wasukuma
Sawa NDARO, ngoja tusiwasimangeUzi wa mashindano ya kuchukia comedians. Mnajisikia raha wenyewe
Je NdaroNamkubali yule anayevaa nguo za njano na gari yake ya njano.
Namkubali Nanga.
Namkubali yule anayeimba kwa kupiga gitaa anasema mama yake anaomba miwa na udongo akiwa tumboni hao nawakubali sana ila mc pilipili analazimisha kuchekesha ila hachekeshi.
Hapana simuelewiJe Ndaro
Viral mkuuZinaenda wapi
Punching up comedy inakuwa inafanyiwa powerful people na watu maarufu katika jamii mfano watawala, matajiri, celebrities, viongozi wa dini hasa mambo yao mabovu na umbea unaojitokeza na kuvuma. Punching down comedy content inakuwa ya watu wa kawaida na masikini na mambo yao ya kawaida ya kila siku.Punch up na punch down ninini?
Asante kiongoziPunching up comedy inakuwa inafanyiwa powerful people na watu maarufu katika jamii mfano watawala, matajiri, celebrities, viongozi wa dini n.k punching down comedy content inakuwa ya watu wa kawaida na masikini na mambo yao ya kawaida ya kila siku.
Hakuna kitu kama hichoViral mkuu
We kataa tuHakuna kitu kama hicho
Talking about huyu...kuna mbibi aloruka stage anajiita Ashura kiuno amekuwa featured kwenye hizi skits za huyu, jamani jamani..tusali tupate uzee mwema. Aibu naona mimi maana yule ni bibi yangu kabisa lakini roles anazopewa ni aibu...tusaidie wazazi jamani tusije wakuta mitandaoni huko wakifanya vitu vya aibu."Clam" mbavu zangu ameshindwa kabisa kuzishawishi