Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Yaani umetoka huko kuja kumfungulia sledi mwanaume anaefaiti kupata riziki. Dada usidharau kazi ya mtu yeyote. Asiefanya kazi na asile. Kama hakufurahishi pita mbali.

Yaani nifungue genge la nyanya halafu uje useme biashara yangu haikufurahishi?! acha umama
Cha kwanza mimi sio dada, kwa uwezo tu nilio nao naweza kumfanya hata baba yako awe mke wangu.

Pili, hiyo ni sanaa na sisi ndio hadhira. Kureason kitu hakuna ubaya. Kila mtu basi kwa nafasi yake na wadhifa wake asiwe anatolewa judgement kwakuwa tu kafika hapo kwa nguvu zake haijalishi ni siasa au kitu chochote
 
Namkubali yule anayevaa nguo za njano na gari yake ya njano.
Namkubali Nanga.
Namkubali yule anayeimba kwa kupiga gitaa anasema mama yake anaomba miwa na udongo akiwa tumboni hao nawakubali sana ila mc pilipili analazimisha kuchekesha ila hachekeshi.
 
Punch up na punch down ninini?
Punching up comedy inakuwa inafanyiwa powerful people na watu maarufu katika jamii mfano watawala, matajiri, celebrities, viongozi wa dini hasa mambo yao mabovu na umbea unaojitokeza na kuvuma. Punching down comedy content inakuwa ya watu wa kawaida na masikini na mambo yao ya kawaida ya kila siku.
 
Punching up comedy inakuwa inafanyiwa powerful people na watu maarufu katika jamii mfano watawala, matajiri, celebrities, viongozi wa dini n.k punching down comedy content inakuwa ya watu wa kawaida na masikini na mambo yao ya kawaida ya kila siku.
Asante kiongozi
 
"Clam" mbavu zangu ameshindwa kabisa kuzishawishi
Talking about huyu...kuna mbibi aloruka stage anajiita Ashura kiuno amekuwa featured kwenye hizi skits za huyu, jamani jamani..tusali tupate uzee mwema. Aibu naona mimi maana yule ni bibi yangu kabisa lakini roles anazopewa ni aibu...tusaidie wazazi jamani tusije wakuta mitandaoni huko wakifanya vitu vya aibu.
 
Back
Top Bottom