Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

Yake hayakua mapenzi wa sugu ni Bora kuliko yalaiti,wimbo unaokuvutia kwenye kiitikio kilichorudiwa toka kwenye wimbo wa sitti bint saada aliyekufa 1960 na kurudiwa na bi kidude
 
Sugu ana album 13,kila moja Ina nyimbo 12,kila moja Ina wimbo mmoja wa mapenzi,we unazungumzia sugu gani!?..unajua nyimbo zake ngapi!?
Msanii kama simkubali simkubali tuu hata kama ana album mia na nyimbo 40 za mapenzi. Namuonaga Sugu yuko overated sana ila ni MC wa kawaida sana ki uandishi na flow.
 
Msanii kama simkubali simkubali tuu hata kama ana album mia na nyimbo 40 za mapenzi. Namuonaga Sugu yuko overated sana ila ni MC wa kawaida sana ki uandishi na flow.
Mikononi mwa polisi,wanakuita sugu,dar es salaam, ndani ya bongo,kwa penzi,makini na fani,chini ya miaka 18,Hali halisi,deiwaka,
 
D.voice
Mac voice
Rayvanny
Bilnass
Whozu
Snura. Q darleen, shilole, lulu diva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…