Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

Exactly, flow na tone zake zipo relaxed ndio maana sidhani kama kuna hip hop artist ametoa best love songs kama yeye, kuanzia yalaiti, zamani na kiboko yangu..

Na pia jamaa anajua kucheza na lugha kwenye njia ambayo ipo relatable na watu wengi. Ukisikiliza dume suruali hadi gwiji, utaona hicho kitu. Ni kama anaimba kitu ambacho anajua kitatugusa tu.

He is an all time hit maker na mimi ni fan wake toka nikiwa young hadi leo
Yake hayakua mapenzi wa sugu ni Bora kuliko yalaiti,wimbo unaokuvutia kwenye kiitikio kilichorudiwa toka kwenye wimbo wa sitti bint saada aliyekufa 1960 na kurudiwa na bi kidude
 
Sugu ana album 13,kila moja Ina nyimbo 12,kila moja Ina wimbo mmoja wa mapenzi,we unazungumzia sugu gani!?..unajua nyimbo zake ngapi!?
Msanii kama simkubali simkubali tuu hata kama ana album mia na nyimbo 40 za mapenzi. Namuonaga Sugu yuko overated sana ila ni MC wa kawaida sana ki uandishi na flow.
 
Msanii kama simkubali simkubali tuu hata kama ana album mia na nyimbo 40 za mapenzi. Namuonaga Sugu yuko overated sana ila ni MC wa kawaida sana ki uandishi na flow.
Mikononi mwa polisi,wanakuita sugu,dar es salaam, ndani ya bongo,kwa penzi,makini na fani,chini ya miaka 18,Hali halisi,deiwaka,
 
D.voice
Mac voice
Rayvanny
Bilnass
Whozu
Snura. Q darleen, shilole, lulu diva
 
Back
Top Bottom