Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Utakuwa umetokea njombe 😂😂B2k mimi kama fan wake nitakupiga mawe
B2K ana sauti kama auto tune. Kuna wimbo yupo na vanilla, nilitaka kuuelewa, Ila nyingine nimeshindwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa umetokea njombe 😂😂B2k mimi kama fan wake nitakupiga mawe
Vitu unapendaga brother 😂😂🙌🏾Huyu bwana mi kuna wimbo wake mmoja tu ule kaimba singeli ndio ulivutia, tena sio wimbo wote, ni kakipande tu anaimba
"Haya dadaa tikisa kalio kalio kalio kariakooooo.
Wasio kua nalo na wenye ngongingo warushe rohoo"
😅😅😅.
NB
Mnisamehe kidogo, maana mi kuna time huwa napendaga vitu vya kijinga kijinga
Lady jay dee mkuu una utaniOngezea na OMMY DIMPOZ, LADY JAY DEE, JUX, CHEGE (Huyo ndo kabisaa basi tu ni huruma ya watanganyika) JAIVA, CHINO
TUNDA MAN
PNC
SPARK
BOB JUNIOR
Exactly, flow na tone zake zipo relaxed ndio maana sidhani kama kuna hip hop artist ametoa best love songs kama yeye, kuanzia yalaiti, zamani na kiboko yangu..There's something about FA aisee, binafsi sio shabiki yake, personality and stuff. ila nazipenda nyimbo zake zote, hata zile alizotoa nikiwa bado mdogo. Mi ni shabiki wa music wake at large.
Na ameonesha consistency kwenye hili, kila akiingia studio lazima atoe kitu kiende mjini!
Lady jay dee mkuu una utani
😂😂😂😂Bongo wote
Jux umemkosea sanaHii ni 10 bora ya watu ambao hawakupaswa kujihusisha na muziki kwa sababu ya kukosa vipaji;
1. Jux
2. Shilole
3. Wakazi
4. Queen Darlin
5. Madee
6. AY
7. Babalevo
8. Ali Kiba
9. Tundaman
10. Best Naso.
......Ingekuwa vipi Dulysykes angeimba hardcore, mashairi kama Jay mo, neno wanasesere naimani lisingekupo, Mauzo ya rap ya bongo yangefika platnums tano.......Exactly, flow na tone zake zipo relaxed ndio maana sidhani kama kuna hip hop artist ametoa best love songs kama yeye, kuanzia yalaiti, zamani na kiboko yangu..
Na pia jamaa anajua kucheza na lugha kwenye njia ambayo ipo relatable na watu wengi. Ukisikiliza dume suruali hadi gwiji, utaona hicho kitu. Ni kama anaimba kitu ambacho anajua kitatugusa tu.
He is an all time hit maker na mimi ni fan wake toka nikiwa young hadi leo
Utozi sina na sijawahi kuupenda, napenda mziki mzuri. Napenda kazi za jux sio life style yake.Wewe kupenda kwako utozi ndo kunafanya uone Jux anajia.
Kabiasa mkuu, ila best naso sijawahi kumuelewa kbsunakuta huyu ni shabiki mkubwa wa best naso ila hamuelewi mzee wa commercial
Oya we vipi,mpango wako vipi!?Ay hajawahi kuwa favourite artsist kwangu lakini pamoja na yule bado ana ngoma zingine kali tu kama usijaribu, zigo, binadamu n.k. msanii ambae sijawahi kumuelewa anachoimba ni mchizi mox
MkuuMimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.