Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

B2k mimi kama fan wake nitakupiga mawe
Utakuwa umetokea njombe 😂😂

B2K ana sauti kama auto tune. Kuna wimbo yupo na vanilla, nilitaka kuuelewa, Ila nyingine nimeshindwa
 
Huyu bwana mi kuna wimbo wake mmoja tu ule kaimba singeli ndio ulivutia, tena sio wimbo wote, ni kakipande tu anaimba
"Haya dadaa tikisa kalio kalio kalio kariakooooo.
Wasio kua nalo na wenye ngongingo warushe rohoo"
😅😅😅.

NB
Mnisamehe kidogo, maana mi kuna time huwa napendaga vitu vya kijinga kijinga
Vitu unapendaga brother 😂😂🙌🏾
 
There's something about FA aisee, binafsi sio shabiki yake, personality and stuff. ila nazipenda nyimbo zake zote, hata zile alizotoa nikiwa bado mdogo. Mi ni shabiki wa music wake at large.

Na ameonesha consistency kwenye hili, kila akiingia studio lazima atoe kitu kiende mjini!
Exactly, flow na tone zake zipo relaxed ndio maana sidhani kama kuna hip hop artist ametoa best love songs kama yeye, kuanzia yalaiti, zamani na kiboko yangu..

Na pia jamaa anajua kucheza na lugha kwenye njia ambayo ipo relatable na watu wengi. Ukisikiliza dume suruali hadi gwiji, utaona hicho kitu. Ni kama anaimba kitu ambacho anajua kitatugusa tu.

He is an all time hit maker na mimi ni fan wake toka nikiwa young hadi leo
 
Hii ni 10 bora ya watu ambao hawakupaswa kujihusisha na muziki kwa sababu ya kukosa vipaji;
1. Jux
2. Shilole
3. Wakazi
4. Queen Darlin
5. Madee
6. AY
7. Babalevo
8. Ali Kiba
9. Tundaman
10. Best Naso.
Jux umemkosea sana

Alikiba pia Umemkosea sana

Best nasso pia...

AY umemkosea pia

Usiweke ushabiki sema tu huwaelewi ila usiseme hawakupaswa fanya mziki.
 
Mke wake IZZO BUSINESS yule sijui ndo walikua wanawaiga kuna Haika na Nareel.

Ukweli yule mwanamke kampoteza bonge la mwana hip hop.

Eti ule wimbo wao TUNAOWANA LEO.. kiruuuu sijui wanaimbaga ma nini..

izzo B n mkali ila kwa yule mwanamke kwenye mziki kaingizwa chaka
 
Exactly, flow na tone zake zipo relaxed ndio maana sidhani kama kuna hip hop artist ametoa best love songs kama yeye, kuanzia yalaiti, zamani na kiboko yangu..

Na pia jamaa anajua kucheza na lugha kwenye njia ambayo ipo relatable na watu wengi. Ukisikiliza dume suruali hadi gwiji, utaona hicho kitu. Ni kama anaimba kitu ambacho anajua kitatugusa tu.

He is an all time hit maker na mimi ni fan wake toka nikiwa young hadi leo
......Ingekuwa vipi Dulysykes angeimba hardcore, mashairi kama Jay mo, neno wanasesere naimani lisingekupo, Mauzo ya rap ya bongo yangefika platnums tano.......
 
1.Harmorapa
2.Baba Levo
3.Lulu Diva
4.Queen Darlene
5.Rosa lee
6.Shilole
7.R.i.p(Godzilla)
8.Amber Lulu
 
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
Mkuu
Hata
Ngoma hizi

Binadamu,zigo😂😂😂
 
Back
Top Bottom