Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
ukute unanyamba wenzio hlf mwenyewe apo ukiambiwa uimbe hata ule wimbo wa cheichei unaanza kulia[emoji1787]Msanii kama simkubali simkubali tuu hata kama ana album mia na nyimbo 40 za mapenzi. Namuonaga Sugu yuko overated sana ila ni MC wa kawaida sana ki uandishi na flow.
Naam. Nikweli kuimba sijui. Lakini kama chakula sijakipenda ni wajibu wangu kusema chakula hiki ni kibaya. Hata kama sijui kupika. Sababu mimi ndo consumer.ukute unanyamba wenzio hlf mwenyewe apo ukiambiwa uimbe hata ule wimbo wa cheichei unaanza kulia[emoji1787]
sijawahi kumuelewa anachoimba ni mchizi mox
Alikwambia anafanya biashara ya hasara!!Best naso hapana kwakweli, hizo hela anapeleka studio bora angekua anakula nyama choma ajenge shavu
mkuu seriously mobeto humwelewi? yani hata lile uno la kupigia puli haujaliona?Beka flavour wa ya moto walipovunja kundi sielewi anaombaga vitu gani zaidi ya kelele tu na lile panki lake km la waimba miziki ya kale na ule ufupi arudi kigoma akavue dagaa tu
Mwingine ana kelele sana km kasuku ni mobeto sijui nani alimdanganya kuingia studio yule na kimdomo chake km birika akomae kudanga huko anafanya vizuri zaidi
Mapenzi, nimekubali, sitosema, nani hizo ni baadhi ya ngoma za ibra ushaziskiza?Shilole
Luludiva
Snura
Ibra wa harmonize
Yani nipigie puli uno la ke mwenzangu we Fala nini?mkuu seriously mobeto humwelewi? yani hata lile uno la kupigia puli haujaliona?
SielewiMapenzi, nimekubali, sitosema, nani hizo ni baadhi ya ngoma za ibra ushaziskiza?
Basi una chuki binafsSielewi
Hivi kweli CHEMICAL alienda wapi?AY,WAKAZI,LAVALAVA,DVOICE,CHEMICAL,QUEEN DARLIN
Alikua anaitwa Pico.πππππππIla wasanii wa zamani kila mtu alikuwa na staili yake ya kipekee.
Kuna Crazy Gk,D knob,Kali P na yule mwingine jina nimemsahau aliimba nyimbo ya Nampenda bibi kikongwe hawa jamaa ilikuwa nikisikiliza nyimbo zao nilikuwa nacheka sana hadi nikawa addicted nazo bila ya kutarajia
Utakuta wewe mwenyewe huna kipaji cha kusikiliza mziki. Huenda kipaji chako cha burudani kipo kwenye traditional dances.Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
Uko sahihi vijana wa siku hizi wameacha kabisa kuangalia contents za msanii wanachoangalia ni mafanikio ya msanii na jinsi anavyotrend mitandaoni yaani hata kama anaimba matusi tu basi huyo ni muimbaji mzuri kwao.Alikua anaitwa Pico.
Kitu nimegundua ni kwamba watu wanachanganya mafanikio na kumuelewa msanii.
Wengine wanaassume msanii anajua kwavile ana mafanikio na wengine kwavile anajua nyimbo zake mbili nzuri. Kuna member kamtaja Baucha ebwana pale lilikua tatizo kweli
Hii ni list ya chuki binafsi.Hii ni 10 bora ya watu ambao hawakupaswa kujihusisha na muziki kwa sababu ya kukosa vipaji;
1. Jux
2. Shilole
3. Wakazi
4. Queen Darlin
5. Madee
6. AY
7. Babalevo
8. Ali Kiba
9. Tundaman
10. Best Naso.