Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

Ni msanii gani wa muziki Bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

Msanii kama simkubali simkubali tuu hata kama ana album mia na nyimbo 40 za mapenzi. Namuonaga Sugu yuko overated sana ila ni MC wa kawaida sana ki uandishi na flow.
ukute unanyamba wenzio hlf mwenyewe apo ukiambiwa uimbe hata ule wimbo wa cheichei unaanza kulia[emoji1787]
 
ukute unanyamba wenzio hlf mwenyewe apo ukiambiwa uimbe hata ule wimbo wa cheichei unaanza kulia[emoji1787]
Naam. Nikweli kuimba sijui. Lakini kama chakula sijakipenda ni wajibu wangu kusema chakula hiki ni kibaya. Hata kama sijui kupika. Sababu mimi ndo consumer.

Kwenye Muziki mimi ni shabiki. Kunyamba (sijui maana yake) ni wajibu wangu. Msanii akimnyamba msanii mwenzie watasema na hate.
 
Beka flavour wa ya moto walipovunja kundi sielewi anaombaga vitu gani zaidi ya kelele tu na lile panki lake km la waimba miziki ya kale na ule ufupi arudi kigoma akavue dagaa tu

Mwingine ana kelele sana km kasuku ni mobeto sijui nani alimdanganya kuingia studio yule na kimdomo chake km birika akomae kudanga huko anafanya vizuri zaidi
 
mkuu seriously mobeto humwelewi? yani hata lile uno la kupigia puli haujaliona?
 
mkuu seriously mobeto humwelewi? yani hata lile uno la kupigia puli haujaliona?
Yani nipigie puli uno la ke mwenzangu we Fala nini?

Hajui kuimba zaidi ya kutumia usanii kujibinua binua tu
 
KR MULLA, Beka flavor, Nuhu mziwanda, Snura, p mawenge,
 
"Cuz this shit ain’t meant for everybody.."

Meek Mill - In God We Trust.

Tatizo la wabongo mnajikuta vichwa vyenu vina RAM kubwa sana. Huwezi ukamuelewa kila mtu huwezi ukaelewa kila kitu. Kwa mfano simuelewi Christian Bella, simueleei Hadija Koppa. Je ni wasanii wabovu hao?

Mtu yuko serious kabisa anamtaja hadi Ali Kiba eti Overrated. Huyu huyu ambaye hadi wanaojua mziki MTV wamempa tuzo.

Sometimes ni kitu simpo ukiona humuelewi msanii fulani jua hafanyi mziki wako. So Simple.
Hatukatai kuna wasanii wanazingua, ila hadi Kiba? Something's wrong.
 
Kuna yule ndugu wa Ally Kiba anaitwa abdu Kiba.
Huyu jamaa tangu ameanza muziki hakuna msanii yeyote hata wa taarabu aliyeona umuhimu wake ili amshirikishe, tangu Tanganyika imepata uhuru na mpaka sasa nchi imezeeka hajawahi kushirikishwa kwenye nyimbo yoyote hata zile za misiba 😎
 
Ila kuna wasanii hata hawakupaswa kuwa kwenye list kwenye huu uzi, sasa mtu ety unamtaja best Naso, D voice, B2K, adbu Kiba dah yn hao hata kuwa kwenye list ya shameless wahapaswi
 
😃😃😃😃😃😃😃Ila wasanii wa zamani kila mtu alikuwa na staili yake ya kipekee.
Kuna Crazy Gk,D knob,Kali P na yule mwingine jina nimemsahau aliimba nyimbo ya Nampenda bibi kikongwe hawa jamaa ilikuwa nikisikiliza nyimbo zao nilikuwa nacheka sana hadi nikawa addicted nazo bila ya kutarajia
Alikua anaitwa Pico.

Kitu nimegundua ni kwamba watu wanachanganya mafanikio na kumuelewa msanii.

Wengine wanaassume msanii anajua kwavile ana mafanikio na wengine kwavile anajua nyimbo zake mbili nzuri. Kuna member kamtaja Baucha ebwana pale lilikua tatizo kweli
 
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
Utakuta wewe mwenyewe huna kipaji cha kusikiliza mziki. Huenda kipaji chako cha burudani kipo kwenye traditional dances.
 
Alikua anaitwa Pico.

Kitu nimegundua ni kwamba watu wanachanganya mafanikio na kumuelewa msanii.

Wengine wanaassume msanii anajua kwavile ana mafanikio na wengine kwavile anajua nyimbo zake mbili nzuri. Kuna member kamtaja Baucha ebwana pale lilikua tatizo kweli
Uko sahihi vijana wa siku hizi wameacha kabisa kuangalia contents za msanii wanachoangalia ni mafanikio ya msanii na jinsi anavyotrend mitandaoni yaani hata kama anaimba matusi tu basi huyo ni muimbaji mzuri kwao.
Kwa mfano kwa sasa msanii akijiunga tu na Wasafi basi huyo anaonekana ni mwimbaji bora hata kama anachoimba ni utopolo
 
Hii ni 10 bora ya watu ambao hawakupaswa kujihusisha na muziki kwa sababu ya kukosa vipaji;
1. Jux
2. Shilole
3. Wakazi
4. Queen Darlin
5. Madee
6. AY
7. Babalevo
8. Ali Kiba
9. Tundaman
10. Best Naso.
Hii ni list ya chuki binafsi.
 
Back
Top Bottom