New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
"Ndani kuna mabuzi, muhogo mchungu anacheza na mbuzi"Yes swadakta,hiyo ni miongoni mwa hizo nyimbo zilizokuwa zinanichekesha hasa ikifika kwenye ule mstari unaosema"aliyekuja na ngedere amtoe out maana humu ndani anazua varangati"😃😃😃😃
Halafu kuna kidemu mle kinarusha kiuno kiselasela na khanga yake