Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

Kwahiyo unaniambiaje mimi mwenye GPA ya 1.8🤔
 
kusubiri kuajiriwa ni utumwa wa fikra
 
Hivi ajira hizi hizi za kulipwa 1.2m mpaka 2m ndo mnadharirishana kiasi hiki mtandaoni? Nina dogo anafanya kazi ya kupaka rangi kucha mabinti, kwa siku analaza 50k ya faidi na wikiendi ni zaidi, vijana fresh from school wengi hawamfikii, after three years anataka afungue ofisi nyingine ya pili kubwa kuliko hii.

Ili ufanikiwe yakupasa uwe umeandikiwa na Mungu, pia juhudi na akili.
 
Hadi mimi unaniambia ukiandika nitasema unaongeza chumvi?
 






Nimecheka Kwa kauli zako......usisaidie mtu ili akurudishie fadhila.....big mistake .saidia usichoke MUNGU akihesabu aliyokutendea alafu akakuuliza ulichomtendea unachakujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…