Jazia Millz
Member
- Oct 5, 2023
- 43
- 117
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toleo gani hili linabadili neno tofauti na lilivyo kwenye matoleo mengine?
Zaburi ya 23Bwana wetu Yesu kristo asifiwe wana Jf
Katika maisha yetu hapa duniani kuna wakati tunapitia nyakati zilizo na mambo magumu sana, kiasi kwamba kwa uwezo wetu unakosa majibu na kubaki kujiuliza maswali magumu yasiyo na majibu.
Nyakati kama za Kufukuzwa kazi, Ugumu wa maisha, kupoteza wapendwa wetu tuliowapenda sana. Usaliti katika maisha ya mahusiano na ndoa, kukosa kazi, kupakaziwa maneno yasiyo na ukweli pengine ugonjwa wa muda mrefu.
Tunapitia dhiki, mateso na maumivu katika maisha. Ukipata hiki unakosa kile ndivyo maisha yalivyo.
Natumaini letu linabakia kwa Muumba wetu.
Je ni mstari gani kutoka kwenye biblia unautumia sana kukupa faraja mpendwa.
Kwa upande wangu, Mstari unaoniongoza kila siku ni
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
Zaburi 23:6
Karibu.
Tusichoke kutenda wema.
Huu unapatikana kitabu gani mkuu?Hakuna adie mchamungu akibanwa kona
Uko deep sana!1 Wathesalonike5:18
Zaburi 31:4 (KJV) Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, Maana Wewe ndiwe ngome yangu."Utaniondolea wavu walionitegea kwa siri maana wewe Bwana ni ngome yangu" mithali
[emoji106]Hoses 4: 6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
Shukrani kwa kuweka sawa, huwa nasoma sana mithali mpaka nimekua addictedZaburi 31:4 (KJV) Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri, Maana Wewe ndiwe ngome yangu.
Unaujumbe gani mkuuEzekieli 4:12
Utachukua mavi ya mtu, uwashe moto, uoke mkate, na kuula mbele ya watu.
Hakika bodaIsaya 41:10-13
Mstari gani mkuuNi kweli
Zaburi:23Bwana wetu Yesu kristo asifiwe wana Jf