Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Logics zinakataa Boss, lakini pia angalia best practice duniani, nchi nyingi zenye Rais Mtendaji huwa Zina Makamu wa Rais ambaye ni Running mate, maana yake amepewa nguvu na watu.
Lakini pia ili kumfanya Makamu awe na kazi ya kufanya day in day out kuna baadhi ya nchi Makamu wa Rais Anapewa Wizara fulani fulani, Mfano hapa kwetu ni Mazingira na Muungano; maana yake sio kweli kwamba Hana kazi za kufanya.
Changamoto kwenye andiko lako nadhani unataka kumuona Makamu Yuko on per na Boss wake, hili nafikiri haliwezekani, refer case ya juzi ya Gachagua/Ruto.

Uko sahihi kabisa.nafasi ya makamu haina tija zaidi ya kuongeza gharama zisizo na tija.Na katiba ibadilike ili ikitokea rais amefariki basi waziri mkuu akaimu Kwa muda wa miezi sita au mwaka mmoja na kuitisha uchaguzi upya ili kuondoa muserereko wa mtu kupata nafasi ya urais chumbani kwake.
Watanzania wengi tumepagawa,imagine mtu anataka makamu wa rais afutwe ,waziri mkuu afutwe 😁😁
Kwa sasa usimlaumu sana makamo wa raisi sababu kwa awamu hii ndani ya serikali kuna serikali nyingine tusiyoijua na yenye nguvu kuliko serikali tunayoijua.
Mfano Abdul wa mama Abdul ana madaraka na kauli kuliko hata Waziri Mkuu.
Hii nchi imekuwa mateka ya wapumbavu. Tunatawalia na wapumbavu na kwa vile kabla ya hapo sisi wenyewe ni wapumbavu wakubwa zaidi basi imekuwa ni balanced equation ya upumbavu.
Kwa Tanzania, cheo ambacho hakitakiwi ni Cha Waziri Mkuu. Waziri Mkuu HANA KAZI yoyote ingawa inaonekana anayo. Mfano, wewe umesema ana uwezo kumfukuza kazi MTUMISHI; sio kweli.Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana.
Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi Mtumishi ila sio Makamu wa Rais.
Nafasi ya Makamu wa Rais imekuwa ceremonial tu. Makamu wa Rais anaweza kupotea hata miezi SITA na wananchi wasishangae au Makamu wa Rais ataonekana Sana kwenye ufunguzi wa warsha na makongamano.
Ni kweli Makamu wa Rais yupo kwaajili ya kukaimu nafasi ya urais Rais anapokuwa nje ya nchi, ila sio lazima yeye akaimu , Rais anaweza kumkaimisha yeyote madaraka ya Urais akiwa nje.
Nashauri baadala ya kutumia pesa nyingi kumuhudumia Makamu wa Rais na watu wake, ni bora kuondoa hicho cheo na Mazingira pamoja na Muungano vikaunganishwa kwenye Wizara ya mambo ya ndani .
Cheo Cha makumu wa raisi kimewekwa ili kuwaridhisha wazanzibari wajione nao ni watawala kwenye muungano.
Ikiwa raisi ni mtanganyika
Sasa kibao kimegeuka raisi ni mzanzibar Makamu wa raisi ni redundunt
Tumeishashauri sana juu ya mabadiliko ya katiba mpya hawatusikilizi
huelewi unachoongea, unajua kazi ya waziri kwenye serikali?Hata Waziri Mkuu hana lolote kionodolewe hicho cheo haraka
Aliye anzisha huuu uzi wakufuta vice presidency apigwe mawe, mkeka wake utakuwa ulichanika ndo akapata madness, saizi ameamka na grandiose delusions anaongea uchwalaaa tuu.kwanza afute uzi wake kabla haujamtokei puani bwabwa huyuHuyo hana akili kichwani.
Ni mzigo kwa taifaKweli mkuu
WAKO WAPI WA JARIBIO LA UTEKAJI WA DEO BONGE1. Mmiliki wa Jengo yupo wapi?
NANI NI MMILIKI WAJENGO.
2. Ramani za jengo ziko wapi??
Uokozi bila Ramani.
3. Ghorofa nne watu wanaokolewa siku nne na sio moja. TAIFA LIMEOZA.
4. Selikali ipo Radhi kununua Mabomu, magali ya Jeshi nk kuizuia CHADEMA na Inashindwa KUNUNUA VIFAA VYA UOKOAJI kwa Raia wake.
5. Niffer amejipeleka Kituoni, Yuko wapi mmliki wa Jengo.
6. Je ni nani aliyetoa vibali vya kujenga na kubomoa anakamatwa Niffer.
TANZANIA YANGU MASIKINI
ZIMA MOTO NA UOKOAJI NI SAWA NA HAKUNA KITU ZERO KABISA.
JESHI LIVUNJWE HARAKA
MAJENGO MENGI KARIAKOO YAMEOZA
Na hakuna faida yoyoteVinaongeza gharama tu.
We UWT unajua kitu gani wewe imba mapambio na kusujudu binadamuhuelewi unachoongea, unajua kazi ya waziri kwenye serikali?
Kwa maoni yangu,Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana.