Ni muda gani inapaswa mwanaume akupeleke kwake baada ya kuanza naye mahusiano?

Anyway niseme unaweza kupelekwa hata siku ya kwanza inategemeana na mazingira maana what if kama mmepanga nyumba Moja au mko mtaa mmoja na unapajua kwake si unaweza hata ku "surpriiiiiiiise"
Je Kama mmekutana tu hamfahamiani kabisaa
 
Ok ila wadada wengi tunaamini mwanaume kukupeleka kwake ni upendo
 
Je Kama mmekutana tu hamfahamiani kabisaa
Ndugu yangu ki ukweli mapenzi hayana muongozo hata kidogo kama nilivyokwambia inawezekana hamjuani kabisa na ukaletwa ndani day one au mnajuana kabisa tena vizuri TU na bado ukachukua miezi hata 6 kuletwa ndani
We endana nayo yanavyokuja hayana muongozo
 
Je mwanamke akiomba apelekwe kwa mwanaume inafaa
Unaogopa nini kumuomba mpenz wako akupeleke kwake au anapoishi?
Shida nini, haujiamini au.
Unadate vp au unakuwa vp na mahusiano serious na mtu na hamjuani mnapokaa?
 
Ukiwa tayari kutoa mzigo inabidi akugegedee kwake kama ana kupeleka Lodge hiyo ni red flag tayari!
 
It depend kuna mtu unamuona uyu kwa jinsi alivyo akipajua kwangu atanisumbua sana
Ni kukutan nae CBD

Kuna mtu unakutan nae anajikuta mtakatifu inabidi unajipa muda ili umchunguze uone kabla y kumleta kwako

Kuna mwngine amenyooka na unaona potential kwake yeye ni siku hiyoiyo inabidi apajue nyumban .

Ila usi judge sana huenda gheto alijakaa sawa jiko kitanda viko sehemu moja mtu analala amesimama au mazingir anapoishi hayaridhishi.

Tatizo mkipajua ndo mnaleta wife duty mara uanze kutaka kuamia , kulipa kodi. unaanza kuacha nguo zko kam pichu eti kulinda territory utazani umechangia Ujenzi
 
Kwanza kwanini mziniiiiiii alafu ndo mpelekane mahome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…