Ni muda gani inapaswa mwanaume akupeleke kwake baada ya kuanza naye mahusiano?

Kama sio MSD basi USAID. Maana watu wa Guest wanamlalamikia Trump bidhaa hazipatikan😁
Akisitisha na mipira itakua kwisha kazi πŸ˜… zilizopo zitatunzwa na moja itatumiwa na watu watatu. Yaani itachemshwa 😜
 
Akisitisha na mipira itakua kwisha kazi πŸ˜… zilizopo zitatunzwa na moja itatumiwa na watu watatu. Yaani itachemshwa 😜
Hvi binadamu unawajua wewe! Utaskia chukua yangu nilitumia juzi haijachafuka sana.
Ndo utajua soksi hazikutengenezwa kuvaliwa tu miguuni😁
 
Hvi binadamu unawajua wewe! Utaskia chukua yangu nilitumia juzi haijachafuka sana.
Ndo utajua soksi hazikutengenezwa kuvaliwa tu miguuni😁
Au Vifungashio laini vitaadimika? πŸ˜…vya nusu kilo
 
Au Vifungashio laini vitaadimika? πŸ˜…vya nusu kilo
Ila ndugu yangu realMamy iyo tabia yko sijaipenda. Juzi nakukaribisha kiroho safi ukapajue kwangu. Umefika kumbe ndo ulikuja kunichunguza.

Wewe sio wa kuwaambia mashosti zako eti bora ningejifunika Tenga sio kwa neti yangu kutoboka hivyo. Eti shuka zangu sifui zimekua ngumu mpaka zinasimama
😁😁
 
Na kapeti lako la plastic 😜la Draft
 
Siku hiyo hiyo
 
Shida mkija magetoni mnaanza kuthaminisha, mnajua tunavyovaa huku nje ni tofauti sana na tunakotokea πŸ˜‚
 
Unaweza kuoga choo cha nje wewe?
 
Siku hiyo hiyo ukapigwe pumb.u vizuri
 
Unaweza kuoga choo cha nje wewe?
πŸ˜„πŸ˜„ daaah umenikumbusha Kuna Kijana kapanga zile nyumba za ndani yaani mwenye nyumba yupo humohumo kwaiyo kupewa chumba nahisi kilikuwa cha watoto halafu Kijana wa mwenye nyumba ni bubu halafu choo cha nnje🀣 tuishie hapa maana story inachekeshaa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…