Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #21
Mbona wewe hujauwawa?SAMIA AMEUWA WATU 100000000

Hili si jukwaa la vichaa na wenye matatizo ya akili. Maana naona umepotea njiaHii pimbi ya kijani kichwani ni empty yaan uki serch unakuta empty folder
Nakushauri kwanini hiyo picha usipigie puchu pimbi wee!
Majitu ya hivyo kama nyinyi mara nyingi hayafi!Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu. Kwa hakika huu ni wakati na muda muafaka na majira sahihi kabisa kwa Benki Kuu Ya Tanzania kubadilisha Muonekano wa Fedha Zetu kwa kuweka Picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ni wakati wa kumpatia heshima na alama ya kumbukumbu itakayo dumu vizazi na vizazi . Ni wakati ya kuweka historia mpya ya kuhakikisha Vizazi vijavyo na historia inaendelea
Kutambua mchango mkubwa wa Rais wetu katika mapinduzi ya kiuchumi na mifumo yetu iliyoleta matokeo chanya na yenye Kugusa Maisha ya watanzania.
Tunapaswa kuweka picha yake na kuwa sehemu ya kumbukumbu si kwa kuwa yeye ni Rais Mwanamke Wa Kwanza kuongoza Taifa letu. Tunaweka na tunapaswa kufanya hivyo kutokana na mchango wake mkubwa na kazi kubwa aliyoifanya katika Taifa letu. Mchango ambayo imeleta taswira mpya katika masuala ya uchumi ,kilimo,biashara ,Elimu ,afya , miundombinu,N.k.
Amefanya Makubwa ambayo mengine mengi sana yalishindikana kabisa kutumia na kufanyika na kutumia wakati wa awamu zote zilizopita na kutangulia.Embu fikiria ujasiri wa kukamilisha Bwawa la mwalimu Nyerere lenye kuzalisha umeme wa uhakika wa takribani Megawati 2115. Hivi mnajua hata Baba waTaifa alikuwa na ndoto hiyo lakini alishindwa kutimiza ndoto yake? Ni nani mwingine angetimiza ndoto hiyo zaidi ya Rais Samia ?
Embu angalia ujenzi wa SGR. Je unafikiri Ingekuwa ni rahisi kujenga ikiwa Rais hana malengo wala maono wala uthubutu wala ujasiri? Unafikiri kwanini imewezekana sasa na siyo zamani ? Jibu ni uthubutu ,ujasiri ,maono na utayari wa Rais wetu Mpendwa katika kufanya mambo makubwa kwa wakati sahihi bila kuyumba ama kuyumbishwa.
Sasa kwanini tusiweke historia itakayo kumbukwa hata kwa vizazi vijavyo? Ni lazima tufanye uamuzi huo wa kumpatia heshima Rais wetu ,ni lazima tuanze mchakato wake sasa akiwa madarakani ili aweze kutambua namna tunavyo mjali na kutambua mchango wake kwa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa .Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3534200
Naunga mkono hoja, mada za kipuuzi zifutwe humu JF.Moderators tafadhalini liokoeni jukwaa letu hili kwa mada za kipumbavu kama hizi. Samia analaumika kwa mauaji ya Watanganyika zaidi ya 10,000 na yeye na wateule wake kila siku wanatoa maneno ya kuzidi kuwaumiza wahanga wa mauaji haya sasa anapokujq mwendawazimu kama huyu kuleta uchawa wake humu ni chukizo kubwa na anakaribisha matusi hapa jukwaani. Please do the needful.
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu. Kwa hakika huu ni wakati na muda muafaka na majira sahihi kabisa kwa Benki Kuu Ya Tanzania kubadilisha Muonekano wa Fedha Zetu kwa kuweka Picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ni wakati wa kumpatia heshima na alama ya kumbukumbu itakayo dumu vizazi na vizazi . Ni wakati ya kuweka historia mpya ya kuhakikisha Vizazi vijavyo na historia inaendelea
Kutambua mchango mkubwa wa Rais wetu katika mapinduzi ya kiuchumi na mifumo yetu iliyoleta matokeo chanya na yenye Kugusa Maisha ya watanzania.
Tunapaswa kuweka picha yake na kuwa sehemu ya kumbukumbu si kwa kuwa yeye ni Rais Mwanamke Wa Kwanza kuongoza Taifa letu. Tunaweka na tunapaswa kufanya hivyo kutokana na mchango wake mkubwa na kazi kubwa aliyoifanya katika Taifa letu. Mchango ambayo imeleta taswira mpya katika masuala ya uchumi ,kilimo,biashara ,Elimu ,afya , miundombinu,N.k.
Amefanya Makubwa ambayo mengine mengi sana yalishindikana kabisa kutumia na kufanyika na kutumia wakati wa awamu zote zilizopita na kutangulia.Embu fikiria ujasiri wa kukamilisha Bwawa la mwalimu Nyerere lenye kuzalisha umeme wa uhakika wa takribani Megawati 2115. Hivi mnajua hata Baba waTaifa alikuwa na ndoto hiyo lakini alishindwa kutimiza ndoto yake? Ni nani mwingine angetimiza ndoto hiyo zaidi ya Rais Samia ?
Embu angalia ujenzi wa SGR. Je unafikiri Ingekuwa ni rahisi kujenga ikiwa Rais hana malengo wala maono wala uthubutu wala ujasiri? Unafikiri kwanini imewezekana sasa na siyo zamani ? Jibu ni uthubutu ,ujasiri ,maono na utayari wa Rais wetu Mpendwa katika kufanya mambo makubwa kwa wakati sahihi bila kuyumba ama kuyumbishwa.
Sasa kwanini tusiweke historia itakayo kumbukwa hata kwa vizazi vijavyo? Ni lazima tufanye uamuzi huo wa kumpatia heshima Rais wetu ,ni lazima tuanze mchakato wake sasa akiwa madarakani ili aweze kutambua namna tunavyo mjali na kutambua mchango wake kwa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa .Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3534200
Umeandika utumbo wa bata 💩💩Ndugu zangu Watanzania,

Elfu kumi? Kwa kazi anayoifanya inabidi tuchap8she noti mpya za 100,000,000,000/= @ ili akwekwe pale. Thamani ya 10,0000 ni ndogo sanaNdugu zangu Watanzania,

Mtu aina yako ni lazima UFE tuMajitu ya hivyo kama nyinyi mara nyingi hayafi!
Ujinga unakusumbuaUnatia aibu sana

3![]()
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa .Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili View attachment 3534200
Kuzaliwa kwako wewe ni matumizi mabaya ya maniiNdugu zangu Watanzania,

Mkuu picha ya daktari wa mchongo samuya nimeiweka chooni kwangu kwa shughuli maalum!.Mtu aina yako ni lazima UFE tu