Ni muda sasa sijawahi kumbuka ndoto yoyote niliyoota

Wewe noma sana aisee
 
Mjomba natafuta Dawa Muhuni yoyote akinitombea mke wangu kombeo yake igeuke barafu au mti ya muanzi asiweze kukojoa kabisa mkojo, naomba HIO Dawa nitailipia gharama yoyote
 
Jaman pole sana mpendwa,,, mungu akusimamie
Amina,,sema nilkokua mwenyewe kulishanuka kitambo,,ila kwa leo kuna mtu anasimamia kazi fulani ivi naona nako kunanuka🙌🏾🙌🏾
 
Serious unauliza ufanye nini? Ukizikumbuka zitakusaidia nini?
 
Nikilala lazima niote, ila asubuhi memory inakuwa empty
Nikupe Dawa?

Tafuta Ngozi ya Chatu Jike, Kucha ya Simba, Jino la Tembo, Machozi ya Samaki, mlete Sisimizi mwenye mapengo, Jogoo mwenye Matege, Ushuzi wa Nyegere weka kwenye Chupa au kibuyu na Kunguru Jike mmoja

Ukileta hivyo ikitengenezwa Dawa utaanza kukumbuka
 
Bora nisikumbuke kama ni hivyo, mkuu wewe utakuwa unafuga majini kabisa.
 
Bora nisikumbuke kama ni hivyo, mkuu wewe utakuwa unafuga majini kabisa.
Unataka kukumbuka au hautaki kukumbuka? Utakimbizwa ndotoni unaamka unajihisi unakimbizwa memory inasoma unakimbizwa kwenye majaruba ya Mpunga non-stop
 
Unataka kukumbuka au hautaki kukumbuka? Utakimbizwa ndotoni unaamka unajihisi unakimbizwa memory inasoma unakimbizwa kwenye majaruba ya Mpunga non-stop
Sitaki kukumbuka, hayo mauza uza baki nayo tu kaka 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…