BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Mimi niliwahi kuota ndoto mara mbili, nikiwa kwenye ndoto nikajua kuwa hii ni ndoto dah nilifanya mambo ya ajabu ndotoni.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JApo ningetaman unisaidie kufafanu zaid, lakin usimacho kinaweza kikawa kwel, maana siku ya 3 yake, nikashtuka tena usiku moyo/roho inauma sanaa, kesho yake ikatokea ile ajali ya mbeya (hii ya juzi hapa) and my blood brother alikua mmoja wapo wa waliokuwepo kwenye ajali ile, hali yake badi si nzuri yuko icu mpaka sasa.Kwa muda huo ulioota kuna jambo linakwenda kukukuta, mida hiyo ndoto nyingi huwa za kweli... ongeza ibada kwa wingi na utoe swadaka sana!
Wewe Mungu amekuita katika utumishi muda sasa ila unakwepa kwepa,Last week kwa siku 2 mfululizo, nimeota niko mahala ,nina huzuni sana , nafanya maombi huku nalia kwa uchungu sana, nikashtuka ndotoni,ilikua saa 8 usiku, macho yamejaa machozi,moyo wangu mzito sana. Siku 2 mfululizo ndoto hii ya aina moja.
SIjui hii ina maana gani et Rabboni ?
Tatizo mimi nilishakengeuka, niliacha ibada kabisa. Nabak kusikiliza tu online preachers hii sijaacha.Wewe Mungu amekuita katika utumishi muda sasa ila unakwepa kwepa,
Mungu anatutaka uingie katika shamba lake uvune Roho zilizopotea.
Hiyo ni huzuni ya Mungu Roho mtakatifu, huzuni ya kuwahurumia watenda dhambi Ili warudi kundini baada ya kutubu.
Kuhubiri INJILI ni KAZI yenye thamani kuliko KAZI yoyote duniani
Ubarikiwe🙏
Wala usijihukumu,Tatizo mimi nilishakengeuka, niliacha ibada kabisa. Nabak kusikiliza tu online preachers hii sijaacha.
Hii ilitokea kwa marehemu babu yangu.Habari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni muda mrefu sina kumbukumbu ya ndoto yoyote ile, naota ndoto zaidi ya tatu lakini asubuhi ifikapo nikijaribu kukumbuka nashindwa.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida tu? Ni zaidi ya miaka mitatu sasa nimekuwa na hali hii. Nifanye nini?
Mfalme Nebuchadnezzar alitoa ndoto na kuisahau, akakumbuka kuwa alitoa ndoto ila kukumbuka ndio hakumbuki......Sasa umejuaje uliota, na huku unasema hukumbuki?
Kupoteza viatu ni kupoteza au kucheleweshwa hatua za kiuchumi, kiimani, kimahusiano nk nkNimetoa nimepoteza viatu,, yaani ndoto mbaya hii usiwah omba kuota
Dah, mkuu sasa hapo unasababisha nikose amani kabisaHii ilitokea kwa marehemu babu yangu.
Wakati akinipa wosia akaniambia: ... 'Mjukuu wangu siku zangu zimekaribia maana hata ndoto sioti siku hizi, na hii ni ishara kubwa ya kuukaribia umauti'... .
Sikumdadisi sana jambo hilo, ingawa kweli hakuchelewa kuaga dunia.
Jambo nisilolielewa ni kama kweli alikuwa haoti au alikuwa akiota na kusahau?
Kutokuota ndoto au kusahau ni hatua tata sana.Hii ilitokea kwa marehemu babu yangu.
Wakati akinipa wosia akaniambia: ... 'Mjukuu wangu siku zangu zimekaribia maana hata ndoto sioti siku hizi, na hii ni ishara kubwa ya kuukaribia umauti'... .
Sikumdadisi sana jambo hilo, ingawa kweli hakuchelewa kuaga dunia.
Jambo nisilolielewa ni kama kweli alikuwa haoti au alikuwa akiota na kusahau?
Ni mapepo na mashetani hayo.Majoka ninayoyaonaga ndotoni duniani hayapo
Kuwa na amani.Dah, mkuu sasa hapo unasababisha nikose amani kabisa
Mungu ni above all,Sio KUKEMEA. Ni KUJIZATITI.
Unajua maana ya KUJIZATITI???
You FORTIFY yourself, UNAKITA NGOME NA MIPAKA.
Lazima uwaoneshe MIPAKA baina yako na wao, na wakae kabisa wakitambua HILO na walitambue kwa DHATI bila masihara.
Hii ni SHERIA ya ulimwengu. Sheria ya UHURU kwa kila MJA.
Ukishasema SITAKI hata Mungu mwenyewe hawezi kukusogelea. UNAKITA NGOME mpaka pale utakapoamua VINGINEVYO.
Cc: min -me Extrovert
Mkuu kwanza nashukuru kwa maelezo mazuri, nimejifunza kitu kutokana na uliyo yasema hapo Lakni sasa Mimi sipo usukumani nipo huku kwa wazaramo.Anayedharau ndoto namuona hana maana kabisa,ndoto zina ujumbe,mke wangu mimi hawezi zini bila ya mimi kujua hadi mwenyewe anajishitukia,hawezi fanya chochote chenye mashaka kwangu bila ya mimi kujua,na hakuna jambo linakuja kwangu bila ya mimi kuliona kabla. Wife amewahi kutongozwa na jamaa wawili tofauti nikamwambia hadi na namba zao hakuamini wakati alifanya siri ,asante mungu wangu kwa hiki kipawa.
Mtoa mada njoo inbox nitakuelekeza dawa ya kienyeji ya kuoga kwa maji moto hali yako itarudi,hii ni bure sikuombi hata kumi.
Ila uwe usukumani,huku ndo inapatikana hiyo dawa
Bob Manson
na ndo imetokea patashika leo kazin aseeeee 🙌🏾🙌🏾Kupoteza viatu ni kupoteza au kucheleweshwa hatua za kiuchumi, kiimani, kimahusiano nk nk
Omba Kwa bidii zaidi na zaidi Ili hatua zako ziongozwe na Mungu. Asiwepo mwenye kuzizuia.
Hahaha hatari saana.😂😂Yan unaamka unatoka jasho na unauhakika ulikua kwenye varangati ila ndo hukumbuki kivipi ,,moyo upo mbio mbio yan
Kaka nitajitahidi kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali, pia baada ya kuleta uzi huu nimejifunza mengi sana kutoka kwa wadau.Tafuta ushauri kwa wataalamu wa saikolojia ama madaktari wa afya ya akili.
Hakuna mabanda ya wale wauza dawa za kienyeji huko Darisalama yanayosimamiwa na wasukuma?Mkuu kwanza nashukuru kwa maelezo mazuri, nimejifunza kitu kutokana na uliyo yasema hapo Lakni sasa Mimi sipo usukumani nipo huku kwa wazaramo.
Hapo sasa itabidi ifanyike tafiti kwanza mkuuHakuna mabanda ya wale wauza dawa za kienyeji huko Darisalama yanayosimamiwa na wasukuma?