Ni muda sasa sijawahi kumbuka ndoto yoyote niliyoota


Inawezekana wao huwa hawaoni wala kupata chochote katika ndoto.
Mie kuna kipindi ilikua ni zaidi ya ndoto asee ile no maono, sema nikawa nikinywa pombe inakua haitokei tena, possible niliharibu mwenyewe....nilikua naota vitu kesho yake ni kile kile nilichoona ndotoni.
 



Nachokiona kwako ndoto zinazotimia ni zile symbolic dreams

Ila Mimi kwangu tofauti nikiota jambo Kama kazi , lazima niipate

Na nikimuotea MTU jambo kuwa katoboa lazima atoboe hii huwa ni kawaida Sana.

Pia wakati nasoma ilikuwa inanitokea Sana .

So Mimi symbolic dreams na dreams za kawaida zote huwa zinaleta majibu sahihi.
 
Sivuti mjani, ndoto naota ila nikiamka ndyo sikumbuki
Yani ww n kama mm tu! Days be4 hili tatizo nilikuwa naota hadi mambo ya kesho yangu yatakuwaje, nitakutana na nan au nitafanya nini au nini kitatokea kesho au siku za mbeleni. Na ndoto zangu zilikuwa very straight! Hadi shule nilikuwa naota hadi mitihan kuwa swali fuln nitalikuta kwenye paper. Kuna kipindi niliambiwa na jamaa yangu kuwa ndoto nazoota niwe naziweka siri yani nisiwe nawambia watu kwa madai kuwa kufanya hivyo najiweka hatarini sana na nguvu za giza. Nilimpuuza ila baada ya saiz kushindwa kukumbuka chochote nimeanza kupata mashaka. Mm sasa hivi naweza kuota ndoto uck nikakaa kitandani kabisa ili niihifadhi hiyo ndoto ila nikilala tena nikaamka hata nifanyaje sikumbuki kabisa. Nitakumbuka niliamka uck ili niihifadhi ndoto hiyo lkn wapi. Wengine humu mnaweza kudhan hii haiwezekani ila mm ndiyo hali niliyofikia. Saiz ili niikumbuke ndoto ambayo nikiota uck nikabahatika kuamka uck huo huo basi lazima niihifadhi kwa njia ya maandishi🤔, amini kila kitu kiliumbwa kikiwa na maana yake! Hakuna kilichoumbwa alafu hakina maana. Ukiona hakina maana basi ujue ww ndo hujui maana yake.
 
Ngoja nikairudie ndoto yangu 😂
 
Yaani ulizima maono yako kwa pombe,,ulikwama wapi mpendwa
 
Mie naota halafu zinakua na maana kabisa, yani nnayoyaota yanatokea....

Nilishajifunza kitambo huwa sipuuzii ndoto zangu kabisa. Kuna siku niliota ugomvi yani kila nilichokiota kesho yake kilikua kama nilivoona ndotoni.
Ok good
 
Safi sana,,uko vizur
 
kuzidisha maombi wakati wa kulala na kukemea
Sio KUKEMEA. Ni KUJIZATITI.

Unajua maana ya KUJIZATITI???

You FORTIFY yourself, UNAKITA NGOME NA MIPAKA.

Lazima uwaoneshe MIPAKA baina yako na wao, na wakae kabisa wakitambua HILO na walitambue kwa DHATI bila masihara.

Hii ni SHERIA ya ulimwengu. Sheria ya UHURU kwa kila MJA.

Ukishasema SITAKI hata Mungu mwenyewe hawezi kukusogelea. UNAKITA NGOME mpaka pale utakapoamua VINGINEVYO.

Cc: min -me Extrovert
 
Uko kwenye hatari kubwa,

Miaka mitatu usikumbuke ndoto yoyote?

Huwa unatumia pombe kabla ya kulala? Maana hata walevi hutoa na kukumbuka ndoto.

Si Kila siku utaota ndoto, lakini kumaliza wiki, mwezi usiote ndoto, au yote ndoto na usikumbuke, Hilo ni tatizo,

Ni kama vile connection kati ya NAFSI na Mwili na Roho imekuwa hacked,

Kama Huwa huendi Kanisani, Anza kwenda na udumu katika maombi kabla ya kulala uombe kurudishiwa mawasiliano Yako na macho Yako yatumikayo Ulimwengu wa Roho wa NDOTO Ili upofu uondoke, ukumbuke ndoto na kuona vizuri katika Ulimwengu wa Roho wa NDOTO.

Ubarikiwe, na Mungu akusaidie kufaulu kupata ukiombacho. Amen
 




jaribu meditation na uweke concentration katika mambo machache.

Yawezekana uwezo unao Ila kichwani umekuwa na mambo mengi Sana

Jaribu meditation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…