Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

Upo sahihi sana ndugu......wazungu ni DIABOLICAL.....jamii ya kishetani.
 
Una akili sana
 
Si Wakatoliki, Waanglikana, Wasabato, Walutheri wala Waislam watakubali kuwa na kiongozi Mwafrika hata siku moja, it will never happen. Ni ujinga wetu tu sisi Waafrika kufuata dini za watu ambazo hazina umuhimu wowote maishani mwetu sie Waafrika.
Admin naomba hii sms uiwekee sheet protector, "tunajiita tuna Uzalendo na tunawachukia Mabeberu" sijui bila Marekani inawezekana, sijui story gani ila "tuna abudu dini zao, tunafuata mambo yao, tunasubiri Rumi itamke nini cha kuabudu, tunasubiri Barmingham watoe tamko, tunasubiri Berlin itoe tamko!
Bado tu watumwa!
 
Wewe ndo hujui,jiongeze ikiwa aliyekuleteeni hiyo dini yeye kaenda tofauti na alivyowaamisha hutambui tu kuwa alichokuletea siyo,achanana dini zao rudi kwa dini zako za asili
Neno, ila Warumi, Waingereza na Wasaudia [Waaraabu] na WAjerumani wa Kitanzania wakiamka hapa utatukanwa sana, wanakwambia ni fumbo la imani na kila mmoja anakwambia dini yake imeshushwa toka juu.
 
Alafu anatokea mtu anakuambia kama hautoi kwenye makanisa hamna kitu[emoji16][emoji16][emoji16]
Huwa tunakutana nao wananiuliza habar za kubatiza Watoto wangu nawaambia akikua atabatizwa mwenyew halafu bila aibu wanasema vipi akifariki atazikwaje[emoji23][emoji23]
Nabaki kucheka kimya kimya yaani nisizike mwanangu[emoji24]
 
Huwa tunakutana nao wananiuliza habar za kubatiza Watoto wangu nawaambia akikua atabatizwa mwenyew halafu bila aibu wanasema vipi akifariki atazikwaje[emoji23][emoji23]
Nabaki kucheka kimya kimya yaani nisizike mwanangu[emoji24]
Kusaidia wasio jiweza ,bila hata kutegemea utoe ili upate kitu( kubarikiwa) ,kunakufanya uwe na furaha tu , hakuna kitu kizuri kama watu wakifurahia uwepo wako apa duniani hata kama ni kwa kiasi kidgo tu.
 
Mashoga yametupiga kichwani. Inakuwaje Papa aruhusu hili jambo!?
kimsingi binafsi litaniathiri sana kwenye imani yangu. Nitajikuta jpili badala ya kwenda kanisani nakwenda Bar....Beach Kidimbwi
 
Yaani dini ni Roman Cathoric ya waitaliano walioianzisha kwa kuzingatia mila na desturi zao na kwa manufaa yao leo mnataka iwe African Cathoric kwa manufaa yenu.

Waafrikana kweli mnazidi kutojitambua na kuendelea kuota ndoto msizozijua badala ya kurejea kwenye dini zenu au kuanzisha dini za Afrika kwa manufaa yenu mnapignia kuongoza dini za watu weupe.

Hata kutambua tu kuwa RC ni ya waroma wa italy mmeshindwa?mnalaana!!
 
Huwa tunakutana nao wananiuliza habar za kubatiza Watoto wangu nawaambia akikua atabatizwa mwenyew halafu bila aibu wanasema vipi akifariki atazikwaje[emoji23][emoji23]
Nabaki kucheka kimya kimya yaani nisizike mwanangu[emoji24]
Hawanaga akili na kinachowafanya waafrikana wengi ni kuogopa kutokuzikwa sijui mbwa anapokufa na kuziwa huwa anazikwa na waumini gani wakati hasali?

Kuna bima za mazishi sijui zina kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…