Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika.

Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi siku ya jumapili, hali ni tofauti sana kwa wazungu ambao kwa vijana kanisani ni kwenye kuoana na kuzikana pekee

Wazungu kwa sasa hali ya maisha yao inaafikiana na maagizo ya Mungu na yeyote anaediriki kupinga mtindo wa maisha yao anaonekana muovu huko nchi zao, mfano mashoga na wasagaji na watu wanaobadili jinsia wanalindwa mnooo, yani ukidiriki kuwakashifu waweza onekana zaidi ya gaidi, mambo ya sex education yanaruhusiwa hata kwa watoto ikiwemo kuwafundisha kujiridhisha kwa mikono, watoto wana maamuzi ya kuamua kubadili jinsia na ole wako mzazi umpinge, mzazi huruhusiwi kumchapa mwanao hata kwa kanga.


Nachoona hii dini kwa wenzetu ishaingizwa zaidi na utamaduni wao, na ndio maana hata papa huwa anaogopa kuzungumzia mambo flani ama nae tayari yumo humo anatetea.

Ilianza kidogo kidogo papa anakaa meza moja na wanaume wanaoingiliana wanaotaka kuwa wakristo huku bila kuacha hio tabia ya kupekechana wanaume kwa wanaume, Panya ukimpa siagi atahitaji na maziwa !! leo hii ni ruksa kwa wanaume wanaoingiliana kingono kunatizwa na kuwa wazazi watakatifu, kifuatacho ni wao kudai haki za kupewa nafasi za uongozi waingize zaidi mambo yao kwa kizazi kibichi cha kuanzia 2010, mambo haya yote hatuwezi kumlaumu papa pekee bali ni mfumo wa maisha ya wazungu ambao wengi walishaachana na mambo ya dini ila dini imebaki kupush ajenda za utamaduni wao duniani, waathirika wakubwa wanakuwa waafrika ambao wapo mstari wa mbele kwenye kufuata misingi ya dini ya kikatoliki.

Ni wakati sasa wa dini hii iongozwe na sisi waafrika tunaoiwekea bidii zaidi
Upo sahihi sana ndugu......wazungu ni DIABOLICAL.....jamii ya kishetani.
 
Saivi nikiamua kutoa sadaka naenda Kwa wasio jiweza. Mwaka Jana nili mnunulia mama mmoja vitenge wao wanaita java pair 3 na Hela 20k yule mama alito machozi huwezi amini alilia sana akisema Mungu hajanijalia mtoto lkn Leo hii amenipa mtoto huyu alishukuru sana. Nilikuwa na pikipiki nikamuaga akasema chukua kuku yoyote bandani humo ukale na wajukuu zangu ...kwangu ukawa mtihani mwingine nikakataa akachukua jogoo kubwa sana nikapewa kutokana na maneno Yale kuongea Kwa sauti ya juu mama mmoja akawa amekuja akaniambia chukua Wala usikatae. Nikachukua!

Baada ya siku kama mbili akaenda kuwashuru wazazi wangu Tena japo nilkuwa sijawaambia nao kawashukuru huku analia. Baada ya mavuno kaniitia karanga debe2 Tena.

Hivo sadaka zangu nawapa watu ambao naona huyu ni mhitaji na hata hospital Huwa naenda sema ndo Nina awamu2 naenda hospital nimejifunza huko ukienda uende umefungasha hasa at least Kwa mwaka mara1 hivi
Una akili sana
 
Si Wakatoliki, Waanglikana, Wasabato, Walutheri wala Waislam watakubali kuwa na kiongozi Mwafrika hata siku moja, it will never happen. Ni ujinga wetu tu sisi Waafrika kufuata dini za watu ambazo hazina umuhimu wowote maishani mwetu sie Waafrika.
Admin naomba hii sms uiwekee sheet protector, "tunajiita tuna Uzalendo na tunawachukia Mabeberu" sijui bila Marekani inawezekana, sijui story gani ila "tuna abudu dini zao, tunafuata mambo yao, tunasubiri Rumi itamke nini cha kuabudu, tunasubiri Barmingham watoe tamko, tunasubiri Berlin itoe tamko!
Bado tu watumwa!
 
Wewe ndo hujui,jiongeze ikiwa aliyekuleteeni hiyo dini yeye kaenda tofauti na alivyowaamisha hutambui tu kuwa alichokuletea siyo,achanana dini zao rudi kwa dini zako za asili
Neno, ila Warumi, Waingereza na Wasaudia [Waaraabu] na WAjerumani wa Kitanzania wakiamka hapa utatukanwa sana, wanakwambia ni fumbo la imani na kila mmoja anakwambia dini yake imeshushwa toka juu.
 
Alafu anatokea mtu anakuambia kama hautoi kwenye makanisa hamna kitu[emoji16][emoji16][emoji16]
Huwa tunakutana nao wananiuliza habar za kubatiza Watoto wangu nawaambia akikua atabatizwa mwenyew halafu bila aibu wanasema vipi akifariki atazikwaje[emoji23][emoji23]
Nabaki kucheka kimya kimya yaani nisizike mwanangu[emoji24]
 
Huwa tunakutana nao wananiuliza habar za kubatiza Watoto wangu nawaambia akikua atabatizwa mwenyew halafu bila aibu wanasema vipi akifariki atazikwaje[emoji23][emoji23]
Nabaki kucheka kimya kimya yaani nisizike mwanangu[emoji24]
Kusaidia wasio jiweza ,bila hata kutegemea utoe ili upate kitu( kubarikiwa) ,kunakufanya uwe na furaha tu , hakuna kitu kizuri kama watu wakifurahia uwepo wako apa duniani hata kama ni kwa kiasi kidgo tu.
 
Mashoga yametupiga kichwani. Inakuwaje Papa aruhusu hili jambo!?
kimsingi binafsi litaniathiri sana kwenye imani yangu. Nitajikuta jpili badala ya kwenda kanisani nakwenda Bar....Beach Kidimbwi
 
Yaani dini ni Roman Cathoric ya waitaliano walioianzisha kwa kuzingatia mila na desturi zao na kwa manufaa yao leo mnataka iwe African Cathoric kwa manufaa yenu.

Waafrikana kweli mnazidi kutojitambua na kuendelea kuota ndoto msizozijua badala ya kurejea kwenye dini zenu au kuanzisha dini za Afrika kwa manufaa yenu mnapignia kuongoza dini za watu weupe.

Hata kutambua tu kuwa RC ni ya waroma wa italy mmeshindwa?mnalaana!!
 
Huwa tunakutana nao wananiuliza habar za kubatiza Watoto wangu nawaambia akikua atabatizwa mwenyew halafu bila aibu wanasema vipi akifariki atazikwaje[emoji23][emoji23]
Nabaki kucheka kimya kimya yaani nisizike mwanangu[emoji24]
Hawanaga akili na kinachowafanya waafrikana wengi ni kuogopa kutokuzikwa sijui mbwa anapokufa na kuziwa huwa anazikwa na waumini gani wakati hasali?

Kuna bima za mazishi sijui zina kazi gani?
 
Back
Top Bottom