HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Umaana wake ni upi kwako wewe muafikana ukiacha ukoo wa Islam wenye dini yao?Uislam si dini ya maana, wacha kujidanganya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa wapiii?Dini hizi zishakuwa za kipumbavu sana Unakuta mtu ana elimu yake kabisa halafu anapelekeshwa na Dini oneni Sasa zinakotupeleka. Inatia hasira sana yaani siku zote umeenda kanisan na pengine umefunga kula na kunywa mifungi kazaa unakuja sikia kiongozi wako wa dini anabariki watu wanaotatuliana marinda!! Inahuzunisha sana ni matusi makubwa sana kwangu na familia yangu
KWa sababu hakurupuki ,na alishawwambia hukumu yao ipo ni swala la Muda tuhujajibu swali, nimeuliza, kama Mungu anachukizwa na mashoga kwanini anaruhusu uwepo wao? uwezo wa kuwaondoa si anao?
Abeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Binti wewe acha maneno[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa km adhabu na hukumu anatoa Mungu, hawa binadamu uwezo wanatoa wapi wa kuhukumu wenzao?Uzuri wa mungu atoi adhabu pale pale pindi unapofanya tu kosa
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Na hii ya sasa imekujaje, ikiwa iliangamizwa kabisa hapo zamani?Mungu anachukizwa na mashoga ndio maana aliangamiza Sodoma na Gomora
Hakuna dhambi wala makosa kwa viumbe alivyoumba MUNGU bali ni mitego waliyoileta wazungu kuwatisha WAAFRIKA na hakuna moto wowote dhidi ya viumbe wowote kama adhabu kama upo je mbwa watachomwa kwa dhambi ipi?Huyo mungu atakuwa Ana roho mbaya Sana, matatizo atengeneze mwenyewe alafu anakuja kuhukumu viumbe wake Kwa kufanya
makosa,ambayo yeye(mungu) kawawekea (Kawa tegeshea) makusudi ili wakosee Tu, awapeleke motoni .
Huyu mungu ni mkatili Sana, halafu pia Hana Kazi ya kufanya
Hata wavuvi wee nenda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashoga yametupiga kichwani. Inakuwaje Papa aruhusu hili jambo!?
kimsingi binafsi litaniathiri sana kwenye imani yangu. Nitajikuta jpili badala ya kwenda kanisani nakwenda Bar....Beach Kidimbwi
Nani anakudanga binadamu anaweza kufufua binadamu mwenzie bwana tena mwafrikana aliyeacha asili yake?Hiyo mara 1000, unayozungumia. Unapima kwa kutumia kigezo gani?( Kwasababu, sijawahi kusikia dini zetu zimefufua watu)
. Na wakati dini ya YESU imefanya hivyo mara nyingi.
Ukiwa huna hela ndo ukaibe?Yaani yeye ndo katengeneza mfumo mzima, mtu akiwa shoga ina maana yeye karuhusu, sasa kama ni kitu kibaya kwanini aruhusu kimpate mtu?
Mnasingiza nguvu za giza, Mungu si ndiye aliyeruhusu uwepo wa hizo nguvu? kila kitu ni kwasababu yake.
Nani kakudanganya katoliki ina amini Mambo ya Mungu?Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika.
Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi siku ya jumapili, hali ni tofauti sana kwa wazungu ambao kwa vijana kanisani ni kwenye kuoana na kuzikana pekee
Wazungu kwa sasa hali ya maisha yao inaafikiana na maagizo ya Mungu na yeyote anaediriki kupinga mtindo wa maisha yao anaonekana muovu huko nchi zao, mfano mashoga na wasagaji na watu wanaobadili jinsia wanalindwa mnooo, yani ukidiriki kuwakashifu waweza onekana zaidi ya gaidi, mambo ya sex education yanaruhusiwa hata kwa watoto ikiwemo kuwafundisha kujiridhisha kwa mikono, watoto wana maamuzi ya kuamua kubadili jinsia na ole wako mzazi umpinge, mzazi huruhusiwi kumchapa mwanao hata kwa kanga.
Nachoona hii dini kwa wenzetu ishaingizwa zaidi na utamaduni wao, na ndio maana hata papa huwa anaogopa kuzungumzia mambo flani ama nae tayari yumo humo anatetea.
Ilianza kidogo kidogo papa anakaa meza moja na wanaume wanaoingiliana wanaotaka kuwa wakristo huku bila kuacha hio tabia ya kupekechana wanaume kwa wanaume, Panya ukimpa siagi atahitaji na maziwa !! leo hii ni ruksa kwa wanaume wanaoingiliana kingono kunatizwa na kuwa wazazi watakatifu, kifuatacho ni wao kudai haki za kupewa nafasi za uongozi waingize zaidi mambo yao kwa kizazi kibichi cha kuanzia 2010, mambo haya yote hatuwezi kumlaumu papa pekee bali ni mfumo wa maisha ya wazungu ambao wengi walishaachana na mambo ya dini ila dini imebaki kupush ajenda za utamaduni wao duniani, waathirika wakubwa wanakuwa waafrika ambao wapo mstari wa mbele kwenye kufuata misingi ya dini ya kikatoliki.
Ni wakati sasa wa dini hii iongozwe na sisi waafrika tunaoiwekea bidii zaidi
Serikali yetu ni katili sana Hivi inataka tulipe kodi kweli ?Wakati sisi ni machinga wadogo.Huyo mungu atakuwa Ana roho mbaya Sana, matatizo atengeneze mwenyewe alafu anakuja kuhukumu viumbe wake Kwa kufanya
makosa,ambayo yeye(mungu) kawawekea (Kawa tegeshea) makusudi ili wakosee Tu, awapeleke motoni .
Huyu mungu ni mkatili Sana, halafu pia Hana Kazi ya kufanya
Nilisoma kwenye Biblia;Kuna mkulima alipanda Ngano lakini adui akaja akampandikizia magugu kwenye ngano yake,wajakazi wake wakamwambia tuyotoe haya magugu mwenyeshamba akasema yaacheni yaote pamoja na ngano maana tukiyatoa tutaharibu ngano na akasema kuwa siku ya mavuno watatenganisha ngano na magugu, ngano itawekwa gharani Bali magugu kwenye moto (Yasijurudie a Gharika,Sodoma na Gomora)1. Tunaiwekea bidii hiyo dini, imetupeleka wapi?
2. Hao mashoga, wasagaji na wanaobadili jinsia kama wanamchukiza Mungu sana, mbona anaruhusu uwepo wao?
haya ni maswali ya msingi unatakiwa ujiulize
Ni bora sisi wasabato tunamwabudu EllenWenye dini yao watakwambia "fumbo la imani" dini ya kwanza, haijadiliwi.
Jibu ni kwamba mungu hayupo mnaokoteza mudahujajibu swali, nimeuliza, kama Mungu anachukizwa na mashoga kwanini anaruhusu uwepo wao? uwezo wa kuwaondoa si anao?
Waafrika wenyewe ndio akina KitimaDini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika.