Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

Uislam si dini ya maana, wacha kujidanganya.
Umaana wake ni upi kwako wewe muafikana ukiacha ukoo wa Islam wenye dini yao?

Huna haya kujipendekeza kwenye ukoo husio wako na kufuata imani ,dini,desturi,tamaduni,nk za kwao?

My friend rudi kwenye UAFRIKA wako wenye dini yako siyo ya ukoo wa Islam hiyo dini ni ya waarabu
 
Dini hizi zishakuwa za kipumbavu sana Unakuta mtu ana elimu yake kabisa halafu anapelekeshwa na Dini oneni Sasa zinakotupeleka. Inatia hasira sana yaani siku zote umeenda kanisan na pengine umefunga kula na kunywa mifungi kazaa unakuja sikia kiongozi wako wa dini anabariki watu wanaotatuliana marinda!! Inahuzunisha sana ni matusi makubwa sana kwangu na familia yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa wapiii?
 
Kwani dini zao wazungu na waarabu ni zipi Mshana?

Wenye jina la MSHANA na mila zao ndiyo wenye dini ya asili yako kama walivyo wenye majina ya AYUB,JOHN,ISSA,HASSAN ndiyo wenye dini za asili za majina hayo
 
Huyo mungu atakuwa Ana roho mbaya Sana, matatizo atengeneze mwenyewe alafu anakuja kuhukumu viumbe wake Kwa kufanya

makosa,ambayo yeye(mungu) kawawekea (Kawa tegeshea) makusudi ili wakosee Tu, awapeleke motoni .

Huyu mungu ni mkatili Sana, halafu pia Hana Kazi ya kufanya
Hakuna dhambi wala makosa kwa viumbe alivyoumba MUNGU bali ni mitego waliyoileta wazungu kuwatisha WAAFRIKA na hakuna moto wowote dhidi ya viumbe wowote kama adhabu kama upo je mbwa watachomwa kwa dhambi ipi?
 
Mashoga yametupiga kichwani. Inakuwaje Papa aruhusu hili jambo!?
kimsingi binafsi litaniathiri sana kwenye imani yangu. Nitajikuta jpili badala ya kwenda kanisani nakwenda Bar....Beach Kidimbwi
Hata wavuvi wee nenda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Papa shikilia hapo hapo, had wateme bungo.
 
Hiyo mara 1000, unayozungumia. Unapima kwa kutumia kigezo gani?( Kwasababu, sijawahi kusikia dini zetu zimefufua watu)
. Na wakati dini ya YESU imefanya hivyo mara nyingi.
Nani anakudanga binadamu anaweza kufufua binadamu mwenzie bwana tena mwafrikana aliyeacha asili yake?

Ingekuwa hivyo si kina Nyerere,Jomokenyata,Nkrma,Lumumba,nk wangefufuliwa?

Acha ujinga uliooitiliza kenge wewe

Hao wazungu wangeweza kufufuaxwatu siwangewafufua kina Estein,Darwin,nk
 
Uki
Yaani yeye ndo katengeneza mfumo mzima, mtu akiwa shoga ina maana yeye karuhusu, sasa kama ni kitu kibaya kwanini aruhusu kimpate mtu?

Mnasingiza nguvu za giza, Mungu si ndiye aliyeruhusu uwepo wa hizo nguvu? kila kitu ni kwasababu yake.
Ukiwa huna hela ndo ukaibe?
Mwili wako ukisikia hasira za kwenda kumpiga mtu panga au kumuua kisa katembea na mke wako ni halo?
The same thing ,
Biblia imeshajibu " aliyeshindwa kuzuia nafsi yake ,amekufa angali hai"
Biblia imekataza uzinzi
Imekataza kupiga nyeto
Imeorodhesha matendo ya mwili,ilijua kabisa mwili una matendo yake mabaya ,lakin imeyakataza.
Inamaana tunaamini MUNGU ni neno basi MUNGU ndo kayakataza
 
Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika.

Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi siku ya jumapili, hali ni tofauti sana kwa wazungu ambao kwa vijana kanisani ni kwenye kuoana na kuzikana pekee

Wazungu kwa sasa hali ya maisha yao inaafikiana na maagizo ya Mungu na yeyote anaediriki kupinga mtindo wa maisha yao anaonekana muovu huko nchi zao, mfano mashoga na wasagaji na watu wanaobadili jinsia wanalindwa mnooo, yani ukidiriki kuwakashifu waweza onekana zaidi ya gaidi, mambo ya sex education yanaruhusiwa hata kwa watoto ikiwemo kuwafundisha kujiridhisha kwa mikono, watoto wana maamuzi ya kuamua kubadili jinsia na ole wako mzazi umpinge, mzazi huruhusiwi kumchapa mwanao hata kwa kanga.

Nachoona hii dini kwa wenzetu ishaingizwa zaidi na utamaduni wao, na ndio maana hata papa huwa anaogopa kuzungumzia mambo flani ama nae tayari yumo humo anatetea.

Ilianza kidogo kidogo papa anakaa meza moja na wanaume wanaoingiliana wanaotaka kuwa wakristo huku bila kuacha hio tabia ya kupekechana wanaume kwa wanaume, Panya ukimpa siagi atahitaji na maziwa !! leo hii ni ruksa kwa wanaume wanaoingiliana kingono kunatizwa na kuwa wazazi watakatifu, kifuatacho ni wao kudai haki za kupewa nafasi za uongozi waingize zaidi mambo yao kwa kizazi kibichi cha kuanzia 2010, mambo haya yote hatuwezi kumlaumu papa pekee bali ni mfumo wa maisha ya wazungu ambao wengi walishaachana na mambo ya dini ila dini imebaki kupush ajenda za utamaduni wao duniani, waathirika wakubwa wanakuwa waafrika ambao wapo mstari wa mbele kwenye kufuata misingi ya dini ya kikatoliki.

Ni wakati sasa wa dini hii iongozwe na sisi waafrika tunaoiwekea bidii zaidi
Nani kakudanganya katoliki ina amini Mambo ya Mungu?
Dini imejificha kwenye kivuli cha Mungu kuwahadaa wajinga ila haiamini Mungu
 
Huyo mungu atakuwa Ana roho mbaya Sana, matatizo atengeneze mwenyewe alafu anakuja kuhukumu viumbe wake Kwa kufanya

makosa,ambayo yeye(mungu) kawawekea (Kawa tegeshea) makusudi ili wakosee Tu, awapeleke motoni .

Huyu mungu ni mkatili Sana, halafu pia Hana Kazi ya kufanya
Serikali yetu ni katili sana Hivi inataka tulipe kodi kweli ?Wakati sisi ni machinga wadogo.
Hivi kwanini serikali haitupi hela inasema tufanye kazi.
Unajua Rais samia ana roho mbaya sana anakaa ikulu na anatembelea prado wakati kuna mwananchi hana hata hela ya kula.
Hivi serikali yetu imewafunga maelfu ya watu magerezani.....Nahis hii serikali haipendi raia,
Nafikiri sasa tumeelewana
 
1. Tunaiwekea bidii hiyo dini, imetupeleka wapi?

2. Hao mashoga, wasagaji na wanaobadili jinsia kama wanamchukiza Mungu sana, mbona anaruhusu uwepo wao?

haya ni maswali ya msingi unatakiwa ujiulize
Nilisoma kwenye Biblia;Kuna mkulima alipanda Ngano lakini adui akaja akampandikizia magugu kwenye ngano yake,wajakazi wake wakamwambia tuyotoe haya magugu mwenyeshamba akasema yaacheni yaote pamoja na ngano maana tukiyatoa tutaharibu ngano na akasema kuwa siku ya mavuno watatenganisha ngano na magugu, ngano itawekwa gharani Bali magugu kwenye moto (Yasijurudie a Gharika,Sodoma na Gomora)

Zingatia kuwa ni Kwa waaminio
 
Biblia inasema,dini iliyosafi ni kwenda kuwatazama yatima,wajane na maskini. Hao ikiwahudumia tayari umemwabudu Mungu. Utapeli na upigaji umejaa Kila Kona. Soma Bible ,sadaka wape maskini. Mbona utabarikiwa TU.
 
Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika.

Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi siku ya jumapili, hali ni tofauti sana kwa wazungu ambao kwa vijana kanisani ni kwenye kuoana na kuzikana pekee

Wazungu kwa sasa hali ya maisha yao inaafikiana na maagizo ya Mungu na yeyote anaediriki kupinga mtindo wa maisha yao anaonekana muovu huko nchi zao, mfano mashoga na wasagaji na watu wanaobadili jinsia wanalindwa mnooo, yani ukidiriki kuwakashifu waweza onekana zaidi ya gaidi, mambo ya sex education yanaruhusiwa hata kwa watoto ikiwemo kuwafundisha kujiridhisha kwa mikono, watoto wana maamuzi ya kuamua kubadili jinsia na ole wako mzazi umpinge, mzazi huruhusiwi kumchapa mwanao hata kwa kanga.

Nachoona hii dini kwa wenzetu ishaingizwa zaidi na utamaduni wao, na ndio maana hata papa huwa anaogopa kuzungumzia mambo flani ama nae tayari yumo humo anatetea.

Ilianza kidogo kidogo papa anakaa meza moja na wanaume wanaoingiliana wanaotaka kuwa wakristo huku bila kuacha hio tabia ya kupekechana wanaume kwa wanaume, Panya ukimpa siagi atahitaji na maziwa !! leo hii ni ruksa kwa wanaume wanaoingiliana kingono kunatizwa na kuwa wazazi watakatifu, kifuatacho ni wao kudai haki za kupewa nafasi za uongozi waingize zaidi mambo yao kwa kizazi kibichi cha kuanzia 2010, mambo haya yote hatuwezi kumlaumu papa pekee bali ni mfumo wa maisha ya wazungu ambao wengi walishaachana na mambo ya dini ila dini imebaki kupush ajenda za utamaduni wao duniani, waathirika wakubwa wanakuwa waafrika ambao wapo mstari wa mbele kwenye kufuata misingi ya dini ya kikatoliki.

Ni wakati sasa wa dini hii iongozwe na sisi waafrika tunaoiwekea bidii zaidi
Waafrika wenyewe ndio akina Kitima
 
Back
Top Bottom