Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu


Kwamba huku afrika hakuna mashoga?
 
Katika wakiristo naowafahamu sijawahi muona anaye iishi hio dini kwa mujibu wa biblia. Kanisani wanaenda kujumuika tu.
Unajidanganya kuwa waafrika ndio watakatifu ?
Kumbuka wazungu wamepelekewa ukristo na uislamu na ubudha kama tulivyoletewa sisi, si asili yao.
Dini ni utamaduni wa mashariki ya kati kwa hio ni ngumu sana kuishi utamaduni wa mtu mwingjne kwa 100%.
Hapa TZ waumini wa dini ndio hao hao wanaenda kwa waganga. Uganga, Matambiko ni utamaduni wetu hatuViacha kamwe labda kama unajidanganya hata. wazungu kuna utamaduni wao hawatauacha kamwe.
 
Hilo linawezekana tuvute subira mapapa wengi walikuwa wakitoka Italia Hali hiyo ilishabadilika wanatoka nchi mbalimbali nje ya Italia

Si ajabu Papa ajaye ukawa wewe mleta mada.Subira yavuta heri
 
Hao wawili ndio nawaona Pope material kwa Sasa ,aliyepo simwelewi na sijawahi kumwelewa
 
Mtajuana huko huko na ushoga wenu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa wapiii?
Kwakweli Na siku nyingi sana naelekea miaka Saba siendi kanisani ila wife na watoto ndo wanaenda. Hivo steseki kiivo Bali kiazazi changu kinacho amini mafundisho ya kanisa kuwa ya kweli. Kwa 100%
 
Mkuu hata huko ambako Dini ilichipukia,Tamaduni za kwenda kwa Waganga wa kienyeji zilikuwepo na inawezekana bado zipo.Hebu soma Vizuri Biblia;Suala la kwenda au kutokwenda kwa Waganga wa kienyeji ni Msimamo wa mtu kadri alivyoipokea Imani yake wala haitegemei km huyu ni Muafrika,Mzungu au Mtu wa Mashariki ya Kati ambako ndio Chimbuko la Dini .

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Mwafrika, siamini dini za watu zilizoletwa na maboti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…