mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Basi ni vizuri. Ni mara chache mno kukuta atheist wa kike. Huwa unakwenda kanisani?Umechelewa kujua.
Wa kiume long time muulize Glenn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ni vizuri. Ni mara chache mno kukuta atheist wa kike. Huwa unakwenda kanisani?Umechelewa kujua.
Wa kiume long time muulize Glenn
Naingia kanisani kama kuna msiba wa mtu ninae mfahamu ibada inafanyika kanisani.Basi ni vizuri. Ni mara chache mno kukuta atheist wa kike. Huwa unakwenda kanisani?
Safi. Nauheshimu uamuzi wako kwa sababu hakuna mwenye authority ya ku judge mtu mwingine.Naingia kanisani kama kuna msiba wa mtu ninae mfahamu ibada inafanyika kanisani.
Pamoja sana.Safi. Nauheshimu uamuzi wako kwa sababu hakuna mwenye authority ya ku judge mtu mwingine.
Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika.
Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi siku ya jumapili, hali ni tofauti sana kwa wazungu ambao kwa vijana kanisani ni kwenye kuoana na kuzikana pekee
Wazungu kwa sasa hali ya maisha yao inaafikiana na maagizo ya Mungu na yeyote anaediriki kupinga mtindo wa maisha yao anaonekana muovu huko nchi zao, mfano mashoga na wasagaji na watu wanaobadili jinsia wanalindwa mnooo, yani ukidiriki kuwakashifu waweza onekana zaidi ya gaidi, mambo ya sex education yanaruhusiwa hata kwa watoto ikiwemo kuwafundisha kujiridhisha kwa mikono, watoto wana maamuzi ya kuamua kubadili jinsia na ole wako mzazi umpinge, mzazi huruhusiwi kumchapa mwanao hata kwa kanga.
Nachoona hii dini kwa wenzetu ishaingizwa zaidi na utamaduni wao, na ndio maana hata papa huwa anaogopa kuzungumzia mambo flani ama nae tayari yumo humo anatetea.
Ilianza kidogo kidogo papa anakaa meza moja na wanaume wanaoingiliana wanaotaka kuwa wakristo huku bila kuacha hio tabia ya kupekechana wanaume kwa wanaume, Panya ukimpa siagi atahitaji na maziwa !! leo hii ni ruksa kwa wanaume wanaoingiliana kingono kunatizwa na kuwa wazazi watakatifu, kifuatacho ni wao kudai haki za kupewa nafasi za uongozi waingize zaidi mambo yao kwa kizazi kibichi cha kuanzia 2010, mambo haya yote hatuwezi kumlaumu papa pekee bali ni mfumo wa maisha ya wazungu ambao wengi walishaachana na mambo ya dini ila dini imebaki kupush ajenda za utamaduni wao duniani, waathirika wakubwa wanakuwa waafrika ambao wapo mstari wa mbele kwenye kufuata misingi ya dini ya kikatoliki.
Ni wakati sasa wa dini hii iongozwe na sisi waafrika tunaoiwekea bidii zaidi
Why umemuita mungu na si Mungu?Pamoja sana.
Sina tatizo na dini ya mtu. Nina tatizo na mungu[emoji3]
Maandishi tu hayo. Mambo ya kibinadamu mnacomplicate sana.Why umemuita mungu na si Mungu?
Mkuu huyo ni binti mrembo tu, sema tu anapigo za chuga😂Mmh mmh mmh id hii ni ya dume. Red flag[emoji23]
We siku zote unadhani siyo ya mchongo?Kama wasipokubali basi hii dini ni ya mchongo
Mtajuana huko huko na ushoga wenuDini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika.
Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi siku ya jumapili, hali ni tofauti sana kwa wazungu ambao kwa vijana kanisani ni kwenye kuoana na kuzikana pekee
Wazungu kwa sasa hali ya maisha yao inaafikiana na maagizo ya Mungu na yeyote anaediriki kupinga mtindo wa maisha yao anaonekana muovu huko nchi zao, mfano mashoga na wasagaji na watu wanaobadili jinsia wanalindwa mnooo, yani ukidiriki kuwakashifu waweza onekana zaidi ya gaidi, mambo ya sex education yanaruhusiwa hata kwa watoto ikiwemo kuwafundisha kujiridhisha kwa mikono, watoto wana maamuzi ya kuamua kubadili jinsia na ole wako mzazi umpinge, mzazi huruhusiwi kumchapa mwanao hata kwa kanga.
Nachoona hii dini kwa wenzetu ishaingizwa zaidi na utamaduni wao, na ndio maana hata papa huwa anaogopa kuzungumzia mambo flani ama nae tayari yumo humo anatetea.
Ilianza kidogo kidogo papa anakaa meza moja na wanaume wanaoingiliana wanaotaka kuwa wakristo huku bila kuacha hio tabia ya kupekechana wanaume kwa wanaume, Panya ukimpa siagi atahitaji na maziwa !! leo hii ni ruksa kwa wanaume wanaoingiliana kingono kunatizwa na kuwa wazazi watakatifu, kifuatacho ni wao kudai haki za kupewa nafasi za uongozi waingize zaidi mambo yao kwa kizazi kibichi cha kuanzia 2010, mambo haya yote hatuwezi kumlaumu papa pekee bali ni mfumo wa maisha ya wazungu ambao wengi walishaachana na mambo ya dini ila dini imebaki kupush ajenda za utamaduni wao duniani, waathirika wakubwa wanakuwa waafrika ambao wapo mstari wa mbele kwenye kufuata misingi ya dini ya kikatoliki.
Ni wakati sasa wa dini hii iongozwe na sisi waafrika tunaoiwekea bidii zaidi
Kwakweli Na siku nyingi sana naelekea miaka Saba siendi kanisani ila wife na watoto ndo wanaenda. Hivo steseki kiivo Bali kiazazi changu kinacho amini mafundisho ya kanisa kuwa ya kweli. Kwa 100%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka ukiwa wapiii?
Acha Ujinga wewe.Kwanini Unataka kujichumia dhambi kwa ushabiki wa kipumbavu?.Papa analiwa mzigo au awala wao ?
Mkuu hata huko ambako Dini ilichipukia,Tamaduni za kwenda kwa Waganga wa kienyeji zilikuwepo na inawezekana bado zipo.Hebu soma Vizuri Biblia;Suala la kwenda au kutokwenda kwa Waganga wa kienyeji ni Msimamo wa mtu kadri alivyoipokea Imani yake wala haitegemei km huyu ni Muafrika,Mzungu au Mtu wa Mashariki ya Kati ambako ndio Chimbuko la Dini .Katika wakiristo naowafahamu sijawahi muona anaye iishi hio dini kwa mujibu wa biblia. Kanisani wanaenda kujumuika tu.
Unajidanganya kuwa waafrika ndio watakatifu ?
Kumbuka wazungu wamepelekewa ukristo na uislamu na ubudha kama tulivyoletewa sisi, si asili yao.
Dini ni utamaduni wa mashariki ya kati kwa hio ni ngumu sana kuishi utamaduni wa mtu mwingjne kwa 100%.
Hapa TZ waumini wa dini ndio hao hao wanaenda kwa waganga. Uganga, Matambiko ni utamaduni wetu hatuViacha kamwe labda kama unajidanganya hata. wazungu kuna utamaduni wao hawatauacha kamwe.
Acha Ujinga wewe.Kwanini Unataka kujichumia dhambi kwa ushabiki wa kipumbavu?.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Mimi ni Mwafrika, siamini dini za watu zilizoletwa na mabotiUmaana wake ni upi kwako wewe muafikana ukiacha ukoo wa Islam wenye dini yao?
Huna haya kujipendekeza kwenye ukoo husio wako na kufuata imani ,dini,desturi,tamaduni,nk za kwao?
My friend rudi kwenye UAFRIKA wako wenye dini yako siyo ya ukoo wa Islam hiyo dini ni ya waarabu