Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Tatizo tuna roho mbaya sana na tamaa za muda mfupi ,wavivu,wabaguzi,wavivu,tunaenda kitonga,wenye wivu na husuda,hatupendi mtu kufanikiwa na ulifanikiwa hupendi mwingine atoboea tunapenda kusifiwa
Changamoto kubwa tunayo
 
Sasa kwa jinsi tulivyo ukiruhusu hilo si ndio mauaji yasiyo kwisha hayatakoma kwetu ?
 
Tatizo ni Mindset zetu "Umasikini wa Kifikra" tukiweka sawa hili Catching up itafanyika kwa uwepesi zaidi.
 
Umuhimu kwa kina nani? Sisi ni watu muhimu sana kwenye hii dunia kwa familia zetu. Sijui wewe lakini iwapo huna umuhimu i sawa.
Umuhimu kwenye familia yako ni sawa ilimradi mnakula mnalala mnalaumu viongozi basi. Hamuwezi fikiria zaidi ya hapo ni kama apes.
 
Basi tunazidi kujichimbia kaburi wenyewe huko tuendako sioni kama hata dalili ya kubadilika
Kaburi lipo karibu kukamilika. Wajinga wajinga, wapuuzi, wapumbavu na wanaofanana na hao ndiyo wanaotrend kwenye mijadala ya kitaifa kwa kuwekwa mbele ili kupotosha jamii na taifa kwa ujumla.
Hakuna hoja zenye mantiki zinazofanyiwa maamuzi ili kuwajengea fikra sahihi za kimaendeleo vijana na watoto wetu kwa faida ya vizazi vijavyo.
Lazima fikra za ukombozi na kimapinduzi ziendelezwe zikiwa (zimeboreshwa kuendana na wakati), kama njia za kuwaenzi wazee wetu waliopigania Uhuru.
Ukiangalia fikra za kizazi hiki na kile kilichodai Uhuru ni sawa na jongoo na nyoka. Tangu lini nyoka akazaa jongoo?
Haya majongoo (kifikra) ni hatari sana kwa mustakababali wa jamii na taifa kwa ujumla.
Mbaya zaidi haya majongoo yanazaliana kila idara, zikiwemo zile nyeti.
Hata hivyo, mitandao ya kijamii yaweza kutumiwa kuzikomboa nchi za Afrika kwa kuunganisha watu wenye fikra change na kuwatambua majongoo yaliyo kwenye nafasi za Uma ili yatafutiwe dawa (yapewe elimu kwanza).
 
Changamoto ni kubwa ya kuitatua
 
Mbona mchina, mhindi katawaliwa pia lakini wanapambana
 
Tatizo ni Mindset zetu Umasikini wa Kifikra tukiweka sawa hili Catching up itafanyika kwa uwepesi zaidi.
Hili linaweza kuwekwa sawa kwa kuanza kuwatambua wanaolipiga Vita wakaunganishwa ili watoe elimu kwa wengine na hata kudhibiti viongozi masikini wa fikra wasipate nafasi.
 
Umuhimu kwenye familia yako ni sawa ilimradi mnakula mnalala mnalaumu viongozi basi. Hamuwezi fikiria zaidi ya hapo ni kama apes.
Ujinga ujinga tu. Kuna watanzania wamefanya kazi kwenye taasisi za kimataifa zenye gunduzi muhimu duniani wewe upo hapo unasubiri ccm ikuwezeshe kufika mwezini? Toka huko nje tafuta exposure. Ulitaka ccm ikusaidie kufanya nini ili utambulike ujisikie kuwa wewe ni wa muhimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…