Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #41
HatariWatu wakikutangulia kwenye mfumo hamna penye utaenda, poleni kwa kiswahili cha kuunga unga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatariWatu wakikutangulia kwenye mfumo hamna penye utaenda, poleni kwa kiswahili cha kuunga unga.
Huwa unashabikia CCM?Wakati wetu ni lini ? Wewe huumizwi na hali zetu na jinsi sisi tulivyo ukitazama na hawa wanao onekana wenzetu.
Wewe upo sawa tu na jinsi sisi tulivyo wala huumii ?
Kuna muda unaweza lazimishwa kuwaza hivyo kwa yanayo endelea juu yetuWeusi ni laana
Changamoto kubwa tunayoTatizo tuna roho mbaya sana na tamaa za muda mfupi ,wavivu,wabaguzi,wavivu,tunaenda kitonga,wenye wivu na husuda,hatupendi mtu kufanikiwa na ulifanikiwa hupendi mwingine atoboea tunapenda kusifiwa
Sasa kwa jinsi tulivyo ukiruhusu hilo si ndio mauaji yasiyo kwisha hayatakoma kwetu ?TATIZO NI VIONGOZI WETU.
Maoni yangu: kila raia aruhusiwe kumiriki bunduki ya aina yoyote apendayo bila mashart lazima tutasonga mbele, kwani viongozi hawatategemea kutumia vyombo vya usalama kufanya watakavyo bali watatumia akili kuleta maendeleo ili waendelee kubaki madarakani.
HapanaHuwa unashabikia CCM?
Mkatae shetani na makopo yake mtupie anapoanza kukimbia.Hapana
Umuhimu kwenye familia yako ni sawa ilimradi mnakula mnalala mnalaumu viongozi basi. Hamuwezi fikiria zaidi ya hapo ni kama apes.Umuhimu kwa kina nani? Sisi ni watu muhimu sana kwenye hii dunia kwa familia zetu. Sijui wewe lakini iwapo huna umuhimu i sawa.
Kaburi lipo karibu kukamilika. Wajinga wajinga, wapuuzi, wapumbavu na wanaofanana na hao ndiyo wanaotrend kwenye mijadala ya kitaifa kwa kuwekwa mbele ili kupotosha jamii na taifa kwa ujumla.Basi tunazidi kujichimbia kaburi wenyewe huko tuendako sioni kama hata dalili ya kubadilika
Tupambane kuondoa umasikini wa kifikraTatizo ni Mindset zetu Umasikini wa Kifikra tukiweka sawa hili Catching up itafanyika kwa uwepesi zaidi.
Changamoto ni kubwa ya kuitatuaKaburi lipo karibu kukamilika. Wajinga wajinga, wapuuzi, wapumbavu na wanaofanana na hao ndiyo wanaotrend kwenye mijadala ya kitaifa kwa kuwekwa mbele ili kupotosha jamii na taifa kwa ujumla.
Hakuna hoja zenye mantiki zinazofanyiwa maamuzi ili kuwajengea fikra sahihi za kimaendeleo vijana na watoto wetu kwa faida ya vizazi vijavyo.
Lazima fikra za ukombozi na kimapinduzi ziendelezwe zikiwa (zimeboreshwa kuendana na wakati), kama njia za kuwaenzi wazee wetu waliopigania Uhuru.
Ukiangalia fikra za kizazi hiki na kile kilichodai Uhuru ni sawa na jongoo na nyoka. Tangu lini nyoka akazaa jongoo?
Haya majongoo (kifikra) ni hatari sana kwa mustakababali wa jamii na taifa kwa ujumla.
Mbaya zaidi haya majongoo yanazaliana kila idara, zikiwemo zile nyeti.
Hata hivyo, mitandao ya kijamii yaweza kutumiwa kuzikomboa nchi za Afrika kwa kuunganisha watu wenye fikra change na kuwatambua majongoo yaliyo kwenye nafasi za Uma ili yatafutiwe dawa (yapewe elimu kwanza).
Mbona mchina, mhindi katawaliwa pia lakini wanapambanasystem mkuu, nadhan ukoloni ulituadhiri sana, kila chetu tulikiacha, tukaanza kufuata mifumo waliyotupangia wao, bahat mbaya hata baada ya Uhuru, waafrica waliopaswa kutuongoza na kutuvusha ili kuzalisha taifa lenye uwezo wa kuwaza na kutenda mpaka kujitegemea (kama walivyo wachina kwa sasa ) ..... viongozi hao wamekuwa wabaya kuliko wakoloni, wamepandikiza mfumo unauzid kudumaza nguvu na akili hatimaye waafrica tumekuwa useless popote duniani, wachache wanaobahatika kutoboa wanatoboa ila wengi tuko kama sub human.
mfano hai ni serikali ya tanu kisha ccm ambao wanajisifu kutawala milele, kwa miaka 60 ya madarakani na mema yote MUNGU aliyotupa, ila tz bado ina masikini wengi, magonjwa yanatutandika kweli na ujinga ndo umepitiliza tukiongozwa na wapumbavu wanaoitwa CHAWA.
katika mazingira ya kutawaliwa na mifumo hii hata ukizaliwa genius, vikwazo na changamoto za kimifumo utaishia kutafuta elimu ya kuajiriwa au kujiajiri kwa lengo tu la kupata hela ya kujikimu, huwezi kuwa mkubwa zaidi ya hapo unless uko kwenye mfumo... leo kina KIPARA, kina NAPE, kina RIDHIWANI ni ma prince wa nchi...
tungekuwa na mifumo smart tungetoboa kama uchina ila tunafanywa mazezeta kwa manufaa ya watawala.
Na inawezekana.Tupambane kuondoa umasikini wa kifikra
Hili linaweza kuwekwa sawa kwa kuanza kuwatambua wanaolipiga Vita wakaunganishwa ili watoe elimu kwa wengine na hata kudhibiti viongozi masikini wa fikra wasipate nafasi.Tatizo ni Mindset zetu Umasikini wa Kifikra tukiweka sawa hili Catching up itafanyika kwa uwepesi zaidi.
Ujinga ujinga tu. Kuna watanzania wamefanya kazi kwenye taasisi za kimataifa zenye gunduzi muhimu duniani wewe upo hapo unasubiri ccm ikuwezeshe kufika mwezini? Toka huko nje tafuta exposure. Ulitaka ccm ikusaidie kufanya nini ili utambulike ujisikie kuwa wewe ni wa muhimu?Umuhimu kwenye familia yako ni sawa ilimradi mnakula mnalala mnalaumu viongozi basi. Hamuwezi fikiria zaidi ya hapo ni kama apes.
hahahaMtu ni Roho, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.
Mtu Hana RANGI, RANGI Iko kwenye Mwili,
Ingekuwa RANGI ni tatizo, mzungu asingewekewa Damu ya black na kusurvive.
Tatua matatizo Yako, usisingizie RANGI Yako au uafrika wako.