kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
-
- #21
Yaondolewe yasihesabike...pili mimi ni shabiki na mwanachama wa coastal union mangushi sio simba ila nataka mpira wa haki tuburudike kama ulaya wa mwisho ana mfunga wa kwanza sio kama hivi wote tunajua yanga anashinda!Kaka kumbe unajipa moyo na Liverkuku . Hahaha haya bana, at least huko ukapate ahueni sio hawa Simba mkuu, timu inategemea penalties ishinde😃😃
Nilikuwa sijazaliwa me najua mechi ya Juzi hapa ambayo mi na ww tulishuhudiaGoli tano hizo hapo la tano alifunga juma kaseja sasa sijui ulikuwa wapi na inaonekana umeanza kufuatilia mpira 2021 utawala wa samia!
ya juzi mimi siijui najua yanga aliyokong'otwa tano!Nilikuwa sijazaliwa me najua mechi ya Juzi hapa ambayo mi na ww tulishuhudia
Yanga hawezi kufungwa 5 na striker akiwa Ateba kg 117ya juzi mimi siijui najua yanga aliyokong'otwa tano!
Yanga amekong'otwa 6 bila yanga amekong'otwa 5 bila yanga amekong'otwa 4-1 yanga amekong'otwa 3-1 yanga amekong'otwa 2 bila yanga amekong'otwa 1 bila ukileta matokeo kama hayo ya yanga kuifunga simba nakununulia tiketi ya tarehe 8 kwenda kushuhudia mkikong'otwa tena!Yanga hawezi kufungwa 5 na striker akiwa Ateba kg 117
Ile si mlimnunua manula?Kayoko ndo aliwafunga goli 5 tarehe 5 November 2023
Kweli ww ndo mbumbumbuYanga amekong'otwa 6 bila yanga amekong'otwa 5 bila yanga amekong'otwa 4-1 yanga amekong'otwa 3-1 yanga amekong'otwa 2 bila yanga amekong'otwa 1 bila ukileta matokeo kama hayo ya yanga kuifunga simba nakununulia tiketi ya tarehe 8 kwenda kushuhudia mkikong'otwa tena!
Alinunuliwa sh ngapi?Ile si mlimnunua manula?
Hapo lazima mnunuzi na muuzaji ndiyo mnafahamu. Sisi tumeona matendo tu. Na hatakaa acheze SimbaAlinunuliwa sh ngapi?
We kama hukua muuzaji wala mnunuzi ulijuaje kama kauza?Hapo lazima mnunuzi na muuzaji ndiyo mnafahamu. Sisi tumeona matendo tu. Na hatakaa acheze Simba
Na yanga hashindi tena tano sawa kabisaWe kama hukua muuzaji wala mnunuzi ulijuaje kama kauza?
Kuhusu kutocheza Simba hiyo ni mipango ya timu kikubwa anapata mshahara wake mliion 18 Kwa mwezi na bonuses zake
Atakosaje kushinda 5 ikiwa Bado Shabalala, Kapombe na Che maloni ndo mabeki SimbaNa yanga hashindi tena tano sawa kabisa
Yanga wenye akili ni wawili tu...Kweli ww ndo mbumbumbu
Simba hii beki Shabalala na Che maloni itaifungaje Yanga
Simba yenye kiungo Ngoma na Deborah itaifungaje Yanga
Simba yenye Ahoua chezaji zito kama linakula magimbo
Simba hii ya Chasambi, balua na Mpanzu atamfungaje Yanga?
Striker Ateba kg 117 anageuka kama lorry la mchanga ataifungaje Yanga
Nikutoe umbumbumbu wako hapo hamna timu ya kumfunga Yanga wala ubavu wa kuwa bingwa, trngeneza timu
Kumekucha tayari kanawe uso ili usiendelee na hizo ndoto!Yaani we we tumeshajua unatokea team gani, hicho ni kiwewe. Hv matokeo yakiwa sare au Pamba Jiji akishinda utarudi hapa utuambieje?
Malizia na Engineer bado anaendelea kwenda Pangani kwa mganga wetuAtakosaje kushinda 5 ikiwa Bado Shabalala, Kapombe na Che maloni ndo mabeki Simba
Viungo wa Simba ni Debora na Ngoma kupigwa 5 ni laZima
Wachezashaji ni Chasambi, Kibu, Balua na Okajepha kupigwa 5 ni laZima
Ateba na Mukwala ndo strikers kupigwa 5 ni laZima
Mbumbumbu acha lawama na visingizio pale Simba hakuna timu mdogo wanguYanga wenye akili ni wawili tu...
Ipe jina lingine wewe kweli supu imekuathiri!Mbumbumbu acha lawama na visingizio pale Simba hakuna timu mdogo wangu
Utapeli tu hakuna lolote ligi hii..pale tff yenyewe Kuna matapeli tu na madiktetaHiyo ndiyo ligi namba 6 kwa ubora [emoji23]