Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

Kaka kumbe unajipa moyo na Liverkuku . Hahaha haya bana, at least huko ukapate ahueni sio hawa Simba mkuu, timu inategemea penalties ishinde😃😃
Yaondolewe yasihesabike...pili mimi ni shabiki na mwanachama wa coastal union mangushi sio simba ila nataka mpira wa haki tuburudike kama ulaya wa mwisho ana mfunga wa kwanza sio kama hivi wote tunajua yanga anashinda!
 
Goli tano hizo hapo la tano alifunga juma kaseja sasa sijui ulikuwa wapi na inaonekana umeanza kufuatilia mpira 2021 utawala wa samia!
Nilikuwa sijazaliwa me najua mechi ya Juzi hapa ambayo mi na ww tulishuhudia
 
Yanga hawezi kufungwa 5 na striker akiwa Ateba kg 117
Yanga amekong'otwa 6 bila yanga amekong'otwa 5 bila yanga amekong'otwa 4-1 yanga amekong'otwa 3-1 yanga amekong'otwa 2 bila yanga amekong'otwa 1 bila ukileta matokeo kama hayo ya yanga kuifunga simba nakununulia tiketi ya tarehe 8 kwenda kushuhudia mkikong'otwa tena!
 
Kweli ww ndo mbumbumbu
Simba hii beki Shabalala na Che maloni itaifungaje Yanga
Simba yenye kiungo Ngoma na Deborah itaifungaje Yanga
Simba yenye Ahoua chezaji zito kama linakula magimbo
Simba hii ya Chasambi, balua na Mpanzu atamfungaje Yanga?
Striker Ateba kg 117 anageuka kama lorry la mchanga ataifungaje Yanga

Nikutoe umbumbumbu wako hapo hamna timu ya kumfunga Yanga wala ubavu wa kuwa bingwa, trngeneza timu
 
Hapo lazima mnunuzi na muuzaji ndiyo mnafahamu. Sisi tumeona matendo tu. Na hatakaa acheze Simba
We kama hukua muuzaji wala mnunuzi ulijuaje kama kauza?
Kuhusu kutocheza Simba hiyo ni mipango ya timu kikubwa anapata mshahara wake mliion 18 Kwa mwezi na bonuses zake
 
Na yanga hashindi tena tano sawa kabisa
 
Na yanga hashindi tena tano sawa kabisa
Atakosaje kushinda 5 ikiwa Bado Shabalala, Kapombe na Che maloni ndo mabeki Simba
Viungo wa Simba ni Debora na Ngoma kupigwa 5 ni laZima
Wachezashaji ni Chasambi, Kibu, Balua na Okajepha kupigwa 5 ni laZima
Ateba na Mukwala ndo strikers kupigwa 5 ni laZima
 
Yaani we we tumeshajua unatokea team gani, hicho ni kiwewe. Hv matokeo yakiwa sare au Pamba Jiji akishinda utarudi hapa utuambieje?
 
Kweli ww ndo mbumbumbu
Simba hii beki Shabalala na Che maloni itaifungaje Yanga
Simba yenye kiungo Ngoma na Deborah itaifungaje Yanga
Simba yenye Ahoua chezaji zito kama linakula magimbo
Simba hii ya Chasambi, balua na Mpanzu atamfungaje Yanga?
Striker Ateba kg 117 anageuka kama lorry la mchanga ataifungaje Yanga

Nikutoe umbumbumbu wako hapo hamna timu ya kumfunga Yanga wala ubavu wa kuwa bingwa, trngeneza timu
Yanga wenye akili ni wawili tu...
 
Yaani we we tumeshajua unatokea team gani, hicho ni kiwewe. Hv matokeo yakiwa sare au Pamba Jiji akishinda utarudi hapa utuambieje?
Kumekucha tayari kanawe uso ili usiendelee na hizo ndoto!
 
Atakosaje kushinda 5 ikiwa Bado Shabalala, Kapombe na Che maloni ndo mabeki Simba
Viungo wa Simba ni Debora na Ngoma kupigwa 5 ni laZima
Wachezashaji ni Chasambi, Kibu, Balua na Okajepha kupigwa 5 ni laZima
Ateba na Mukwala ndo strikers kupigwa 5 ni laZima
Malizia na Engineer bado anaendelea kwenda Pangani kwa mganga wetu
 
Back
Top Bottom