Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€mkuu kwahiyo zile 5 alifunvwa Simba nazo matokeo yalipangwa?? Yanga pia amewahi kufungwa 3 na Simba kwahiyo matokeo pia yalipangwa?? Acheni unazi usio na maana over Simba & Yanga mbona hamsemi kwa timu zingine
 
Haya yote kayaleta kijana sereri kutoka Azam ule mshuti umeacha makasiriko Kwa makolo.
 
Chasambi unamuingiza alifanya kosa gani mechi ya yanga...mechi ile walishindwa kununua wachezaji wa simba walinunua refa ramadhani kayoko yuko wapi mpaka leo hii...
Kayoko ni refa wa NBC premier league
 
Sema uto wana akili ndogo sana, ni rahisi kuwashtukia tangu enzi za akina Toto Africa.Kwa vile tu ni timu la kisiasa la sivyo lingekamatika na kushushwa daraja.
 
Milio ni mingi.

Bado tarehe 8.
 
Na ndiomaana misimu sita timu inaishia robo
Umegundua wewe una akili sana..timu inapigwa nyumbani na Al hilali inashindwa kuvuka kundi rahisi lenye timu mbovu umeona madhara ya match fixing!
 
Haya yote kayaleta kijana sereri kutoka Azam ule mshuti umeacha makasiriko Kwa makolo.
Silah aliupiga kama ule kufungua njia baada ya hapo tabora..Al hilali wakafanya kama alivyofanya silah
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€mkuu kwahiyo zile 5 alifunvwa Simba nazo matokeo yalipangwa?? Yanga pia amewahi kufungwa 3 na Simba kwahiyo matokeo pia yalipangwa?? Acheni unazi usio na maana over Simba & Yanga mbona hamsemi kwa timu zingine
Inonga sijui yuko wapi..chama mpo nae...baleke mlimdhulumu...manula hata benchi haonekani hicho ndicho kikosi kilichofungwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ