Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Tangu muache kutumia huyo manula umemfunga lini Yanga!!?....Hapo lazima mnunuzi na muuzaji ndiyo mnafahamu. Sisi tumeona matendo tu. Na hatakaa acheze Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu muache kutumia huyo manula umemfunga lini Yanga!!?....Hapo lazima mnunuzi na muuzaji ndiyo mnafahamu. Sisi tumeona matendo tu. Na hatakaa acheze Simba
Kayoko ni refa wa NBC premier leagueChasambi unamuingiza alifanya kosa gani mechi ya yanga...mechi ile walishindwa kununua wachezaji wa simba walinunua refa ramadhani kayoko yuko wapi mpaka leo hii...
Na ndiomaana misimu sita timu inaishia roboMatch fixing inatoa wawakilishi wabovu kimataifa!
Milio ni mingi.Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio uliotawala...mkuu wa mkoa yule yule aliyevaa jezi ya yanga kwenda kuifanyia fujo Simba mazoezini na kumsweka ndani matola na ni mdau wa yanga leo anasimama mbele ya kamera kutoa mabaki ya sangara na ugali kuwa wametoa bonasi..ni mjinga tu na asiye na akili au mwendawazimu atakaye amini kutakuwa na mechi ya ushindani pamba atashinda na kutoa upinzani matokeo ya mechi yamekwisha pangwa yanga kuchukua point tatu!
Omba majaliwa urudi kama ulivyokuja na maandishi hayo hayo!Milio ni mingi.
Bado tarehe 8.
Umegundua wewe una akili sana..timu inapigwa nyumbani na Al hilali inashindwa kuvuka kundi rahisi lenye timu mbovu umeona madhara ya match fixing!Na ndiomaana misimu sita timu inaishia robo
Pigia mstari....Kayoko ni refa wa NBC premier league
Silah aliupiga kama ule kufungua njia baada ya hapo tabora..Al hilali wakafanya kama alivyofanya silahHaya yote kayaleta kijana sereri kutoka Azam ule mshuti umeacha makasiriko Kwa makolo.
Inonga sijui yuko wapi..chama mpo nae...baleke mlimdhulumu...manula hata benchi haonekani hicho ndicho kikosi kilichofungwa!😀😀😀mkuu kwahiyo zile 5 alifunvwa Simba nazo matokeo yalipangwa?? Yanga pia amewahi kufungwa 3 na Simba kwahiyo matokeo pia yalipangwa?? Acheni unazi usio na maana over Simba & Yanga mbona hamsemi kwa timu zingine
Utajua mwenyewe wenzio makundi huwa hawahesabu wanahesabu robo!CAFCL sio UMITASHUMITA yenu ya shirikisho
Mimi mstari nilishapiga zamani na nimejibu kwa kuwa umeuliza Kayoko yuko as if alishakufa au kufutwa kibarua chakePigia mstari....
Sawa Mr MwakaroboUtajua mwenyewe wenzio makundi huwa hawahesabu wanahesabu robo!
Kwahiyo timu ilikuwa na watu 5 siku Ile aisee😀😀Inonga sijui yuko wapi..chama mpo nae...baleke mlimdhulumu...manula hata benchi haonekani hicho ndicho kikosi kilichofungwa!
Kama ni mtu wa mpira huwezi ulizwa swali dizaini hii!Kwahiyo timu ilikuwa na watu 5 siku Ile aisee😀😀
Makundi wanaitwaje?Sawa Mr Mwakarobo