kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
-
- #121
Kwa hilo haliwezekani tumeona jinsi msigwa alivyolalamika mtu john mrema kanunuliwa sanduku la bia nini ajabu huku yanga wakifanya utapeli wao kuwauzia mbuzi kwenye gunia washabiki wao!Kuiba mitihani na rushwa ni jambo baya na lenye athar kubwa sana katika jamii. Ukoshiriki haya mambo kila kitu utaamini kwamba hakiwezekani mpaka njia za mkato (rushwa)
Makundi yatabaki hivyo sababu waliotolewa ni wanunuzi maarufu wa mechi bongo!Makundi bado hawajapatikana ila wakina Mwakarobo wapo tayari
Kuna siku utageuza nguo za ndani kisha utaitaja chadema wewe. Msigwa kaingiaje hapo?Kwa hilo haliwezekani tumeona jinsi msigwa alivyolalamika mtu john mrema kanunuliwa sanduku la bia nini ajabu huku yanga wakifanya utapeli wao kuwauzia mbuzi kwenye gunia washabiki wao!
Simba wanaongoza kuhongwa na Yanga ili wapigwe kuliko team zote Tz na hawana msimamo wa kukataaMakundi yatabaki hivyo sababu waliotolewa ni wanunuzi maarufu wa mechi bongo!
Msigwa wote wapo ccm tatizo nini!Kuna siku utageuza nguo za ndani kisha utaitaja chadema wewe. Msigwa kaingiaje hapo?
Mtizamo wako....Simba wanaongoza kuhongwa na Yanga ili wapigwe kuliko team zote Tz na hawana msimamo wa kukataa
Hata mtazamo wako ndio huo. Simbwa ndio team pekee nchini iliyofungwa mara nyingi na Yanga. Simba ndio wanaongoza kuhongwaMtizamo wako....
Sawa...Hata mtazamo wako ndio huo. Simbwa ndio team pekee nchini iliyofungwa mara nyingi na Yanga. Simba ndio wanaongoza kuhongwa