Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

Kuiba mitihani na rushwa ni jambo baya na lenye athar kubwa sana katika jamii. Ukoshiriki haya mambo kila kitu utaamini kwamba hakiwezekani mpaka njia za mkato (rushwa)
Kwa hilo haliwezekani tumeona jinsi msigwa alivyolalamika mtu john mrema kanunuliwa sanduku la bia nini ajabu huku yanga wakifanya utapeli wao kuwauzia mbuzi kwenye gunia washabiki wao!
 
Kuna siku utageuza nguo za ndani kisha utaitaja chadema wewe. Msigwa kaingiaje hapo?
 
Je bado ligi ya Tanzania iendelee kupewa heshima...nafikiri haipaswi ni mashindano ya ndondo cup!
 
Back
Top Bottom