kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #121
Kwa hilo haliwezekani tumeona jinsi msigwa alivyolalamika mtu john mrema kanunuliwa sanduku la bia nini ajabu huku yanga wakifanya utapeli wao kuwauzia mbuzi kwenye gunia washabiki wao!Kuiba mitihani na rushwa ni jambo baya na lenye athar kubwa sana katika jamii. Ukoshiriki haya mambo kila kitu utaamini kwamba hakiwezekani mpaka njia za mkato (rushwa)