ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kwa Pangani unaingia na passport?Malizia na Engineer bado anaendelea kwenda Pangani kwa mganga wetu
Kama ubingwa inapatikana Kwa kwenda Pangani na nyie nendeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Pangani unaingia na passport?Malizia na Engineer bado anaendelea kwenda Pangani kwa mganga wetu
Hakika ni mwenda wazimu na asiye kuwa na akili ndio ana amini yanga na pamba kuna mpira utachezwa!Utapeli tu hakuna lolote ligi hii..pale tff yenyewe Kuna matapeli tu na madikteta
Ndo maana Rage aliwaita mbumbumbuIpe jina lingine wewe kweli supu imekuathiri!
Nilisikia eti wazee wa yanga wakisema eti dube amerogwa kweli yanga wenye akili ni wawili tu!Kwa Pangani unaingia na passport?
Kama ubingwa inapatikana Kwa kwenda Pangani na nyie nendeni
Dube ana magoli 10 na hana goli la penalties wala hakufungwa wakati timu pinzani ikiwa pungufu Kwa kupewa red card ♦️ za magumashiNilisikia eti wazee wa yanga wakisema eti dube amerogwa kweli yanga wenye akili ni wawili tu!
Mechi ni tarehe nane ya unalia nini hao wakiachwa sasa hivi yanga wanawachukua sitaki simba awe bingwa nataka coastal awe bingwa ndio furaha yangu au namungo najua hapo ndio kipimo cha mpira wa haki sio huu utapeli na match fixing!Ndo maana Rage aliwaita mbumbumbu
Yaani unataka uwe bingwa timu ikiwa na Okajepha, Shabalala, Che maloni, Ngoma, Deborah na Ateba
Labda mkawe mabingwa wa Djibouti
Salah anaongoza kwa magoli huko duniani kwenye mpira usio wa kitapeli ila nusu ya magoli ni penati sasa wewe utakuwa na akili unazidi kudhihirisha kauli ya manara na kuathiriwa na supu ya bure...Dube ana magoli 10 na hana goli la penalties wala hakufungwa wakati timu pinzani ikiwa pungufu Kwa kupewa red card ♦️ za magumashi
Coast union wakiwa na mabeki kama Job na Bacca na Yao watakuwa mabingwaMechi ni tarehe nane ya unalia nini hao wakiachwa sasa hivi yanga wanawachukua sitaki simba awe bingwa nataka coastal awe bingwa ndio furaha yangu au namungo najua hapo ndio kipimo cha mpira wa haki sio huu utapeli na match fixing!
Sasa kwanini match fixing....Coast union wakiwa na mabeki kama Job na Bacca na Yao watakuwa mabingwa
Wakiwa na Aucho, Duke na Mudathir ubingwa lazima
Wakiwa na Chama, Aziz ki, Pacome na Max Nzengeli ubingwa lazima
Wakiwa na Mzize, Dube na Musonda coast union laZima awe bingwa
Sasa unailinganisha Salah na AtebaSalah anaongoza kwa magoli huko duniani kwenye mpira usio wa kitapeli ila nusu ya magoli ni penati sasa wewe utakuwa na akili unazidi kudhihirisha kauli ya manara na kuathiriwa na supu ya bure...
Mimi nataka washinde tu ili wakapambane Caf....Yanga wakifungwa utakuja kulalamika tena?
Match fixing ipo vichwani mwa mbumbumbu wanyongeSasa kwanini match fixing....
Mmoja ana miguu mitatu mmoja ana mmoja manara yupo sahihi!Sasa unailinganisha Salah na Ateba
Asiye na akili tu ndio anaamini yale matokeo!Match fixing ipo vichwani mwa mbumbumbu wanyonge
Yaani unaamini ili Yanga amfunge KMC hadi amhonge?
Wangekuwa sawa Ateba asingecheza umbumbumbuni walau kidogo angekuwa hata SwanseaMmoja ana miguu mitatu mmoja ana mmoja manara yupo sahihi!
Wewe jitokeze umfunge YangaAsiye na akili tu ndio anaamini yale matokeo!
Pole sana!Wewe jitokeze umfunge Yanga
Pole sana!Wangekuwa sawa Ateba asingecheza umbumbumbuni walau kidogo angekuwa hata Swansea