Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

Ipe jina lingine wewe kweli supu imekuathiri!
Ndo maana Rage aliwaita mbumbumbu
Yaani unataka uwe bingwa timu ikiwa na Okajepha, Shabalala, Che maloni, Ngoma, Deborah na Ateba
Labda mkawe mabingwa wa Djibouti
 
Kwa Pangani unaingia na passport?
Kama ubingwa inapatikana Kwa kwenda Pangani na nyie nendeni
Nilisikia eti wazee wa yanga wakisema eti dube amerogwa kweli yanga wenye akili ni wawili tu!
 
Dube ana magoli 10 na hana goli la penalties wala hakufungwa wakati timu pinzani ikiwa pungufu Kwa kupewa red card ♦️ za magumashi
 
Ndo maana Rage aliwaita mbumbumbu
Yaani unataka uwe bingwa timu ikiwa na Okajepha, Shabalala, Che maloni, Ngoma, Deborah na Ateba
Labda mkawe mabingwa wa Djibouti
Mechi ni tarehe nane ya unalia nini hao wakiachwa sasa hivi yanga wanawachukua sitaki simba awe bingwa nataka coastal awe bingwa ndio furaha yangu au namungo najua hapo ndio kipimo cha mpira wa haki sio huu utapeli na match fixing!
 
Dube ana magoli 10 na hana goli la penalties wala hakufungwa wakati timu pinzani ikiwa pungufu Kwa kupewa red card ♦️ za magumashi
Salah anaongoza kwa magoli huko duniani kwenye mpira usio wa kitapeli ila nusu ya magoli ni penati sasa wewe utakuwa na akili unazidi kudhihirisha kauli ya manara na kuathiriwa na supu ya bure...
 
Yanga wakifungwa utakuja kulalamika tena?
 
Mechi ni tarehe nane ya unalia nini hao wakiachwa sasa hivi yanga wanawachukua sitaki simba awe bingwa nataka coastal awe bingwa ndio furaha yangu au namungo najua hapo ndio kipimo cha mpira wa haki sio huu utapeli na match fixing!
Coast union wakiwa na mabeki kama Job na Bacca na Yao watakuwa mabingwa

Wakiwa na Aucho, Duke na Mudathir ubingwa lazima

Wakiwa na Chama, Aziz ki, Pacome na Max Nzengeli ubingwa lazima

Wakiwa na Mzize, Dube na Musonda coast union laZima awe bingwa
 
Sasa kwanini match fixing....
 
Salah anaongoza kwa magoli huko duniani kwenye mpira usio wa kitapeli ila nusu ya magoli ni penati sasa wewe utakuwa na akili unazidi kudhihirisha kauli ya manara na kuathiriwa na supu ya bure...
Sasa unailinganisha Salah na Ateba
 
Simba mmekuwa waoga mno!

Nadhani mnajiandaa kisaikolojia kufungwa tarehe 8 na kukosa ubingwa!
 
Back
Top Bottom