Wewe na hiyo dola yako ni wajinga tu, kama lilivyo jina aako. 🚮Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Na ccm yako inamiliki nini?dola halina mmiliki
Dola inayo lipwa kwa kodi za wanan hu inapo amua kuwa kibaraka wa wezi na wala rushwa wa CCM hiyo siyo dola ni kikundi cha uhaini dhidi ya wananchiNipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Nimeleta chakula cha ubongo ..macho hayana kazi ya kuona bali kufikisha taarifa kwa ubongo....ubongo ndio unao ona ndugu yanguUmeshashiba ugali bamia umekuja kuongeza thread isiyo chochote cha kulisha ubongo zaidi ya kusumbua macho ya wasomaji
Hakuna dola bila pesa kima wewedola hailipwi ...tofautisha kati ya Dola na Serikali
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Na hapa ndipo tunapokosea,lazima tutofautishe nchi zinazoendeshwa kijeshi ambako katiba zinasitishwa kufanya kazi na nchi ambazo zinaongoza na serikali zilizochaguliwa na wananchi.Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
We umevimbiwa na amani, nenda Sudan halafu urudi kuandika huo upuuzi. Utaratibu upi unazungumzia? Tena mshukuruni Mungu kwa Rais mstaarabu, mwuungwana km huyu, huyo lofa wenu asiyejiheshimu asingeiona tena ardhi hii ya Tanzania km alivyokuwa Oscar Kambona. Sijawahi ona mtu wa hovyo km huyo mnyaturu. Nia yake ni kuisambaratisha hii nchi, hatafanikiwa huyo mbwa wenu. Mtu utafikiri amefungiwa kinyesi mdomoni?Usitulishe ujinga
Hiyo unayoongelea ni nchi ya manyani.
Hatuwezi kuishi kama nguruwe tusiokuwa na utaratibu. Kama CCM imeshindwa kuongoza dola itoke madarakani
Hakuna upungufu wa kiasi hicho cha watu wasioweza kufikiri