Npo vizuri mzee mwezangu😁🥰
Marahaba totoo, umeshindaje?
Gen Z bana 😀😀😀Npo vizuri mzee mwezangu😁
Shukrani sana Seran nakushukuru kwa kuona hilo. Najitahidi kila siku kuwa mtu wa kuelewa zaidi kuliko kuhukumu.Marcostilone kaka una engagement nzuri sana! Hukurupukagi hupendelei hukebehi🙌🏾
huu ulitakiwa uwe uzi na huu uzi ulitakiwa uwe coment ia ishakuwa tafanyae sasaKila mtu ana umuhimu wake kwa nafasi yake,
hakuna mtu anaweza kua na umuhimu kuliko mwingine,
Binadamu hatufanani,na huu utofauti wetu ndio umeifikisha hii Dunia ya leo hapo tulipo,hata hii JF tungekua tunafana,kifikra,basi ingekua ina bore sana,
Binadamu tungekua tunafanana,basi hii Dunia ya leo isingekua na maendeleo yeyote ya maana,
Kila mwana JF ni special kwa upande wake,
Every individual has a side,a unique perspective,set of experiences,and potential to contribute to society.
😂😂🙌🏾Hadi nitakoma