binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
🫶🏻 Semeji leo sijisikii kuongea!binti kiziwi japo hasikii ila ana masikio makubwa huyo
🫶🏻 Semeji leo sijisikii kuongea!binti kiziwi japo hasikii ila ana masikio makubwa huyo
Hii ni jana kazi ya sh 500 tuNikijipata kazi nataka nikuajiri nikulioe mshahara mnono nikuokoe na kazi mbaya na chafu ya kubet
Takbir ⚔️
Appreciate sana kaka, sasa umeanza kukidhi vigezo vya kukuozesha sister angu😃
Ndiyo familia angu uliyebakia baada ya Muimba SINGELI kukimbia 😔Appreciate sana kaka, sasa umeanza kukidhi vigezo vya kukuozesha sister angu😃
Bado kama vitatu hivi😁
Kipi na kipi bwashee 😂Bado kama vitatu hivi😁
Nimetulia hapa nasubiri pesa 😇 wakati wewe unatafuta hata kazi ya kuosha maiti za waisiharamu upewe malipo ya kuku mweusi.Nikijipata kazi nataka nikuajiri nikulioe mshahara mnono nikuokoe na kazi mbaya na chafu ya kubet
Sister angu ana penda hela huyo inabidi ujipange kaka 😅Kipi na kipi bwashee 😂
Hili limeisha mwanamke kama huyo anaongeza hamasa za kutafuta hela 😂Sister angu ana penda hela huyo inabidi ujipange kaka 😅
Basi ondoa shaka, shemeji yangu 😁Hili limeisha mwanamke kama huyo anaongeza hamasa za kutafuta hela 😂
Ananifaaa
Kwahiyo nimsubir arsenal kwanza afanye jambo au nioe kabisa 😂Badi ondoa shaka, shemeji yangu 😁
Mkuu✊🏾. Umejisahau na wewe upo vizuri💯
Kombe tunachukua mbona we jiandae tu kuleta posa 😁Kwahiyo nimsubir arsenal kwanza afanye jambo au nioe kabisa 😂
Shukran sana kakaMkuu✊🏾. Umejisahau na wewe upo vizuri💯