Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

Kuna surprise inakuja , mzigo wa ID mpya kama 10 zipo sub nataka kuzitambulisha kuanzia mwezi huu , be attention .

Naanza upya , nipo GHAYO , gayo gang 🔥 🔥 . Baada ya ukoo wa Maghabiro uliozalisha Ghayos Gang kutamba sasa ni zamu ya kutambulisha ukoo mpya JfView attachment 3586994
😃😃😃Driz de Mafwele🤣🤣
 
Tupe mawili matatu, siku nikipata mpenzi nifanye
Carlos the jackal

Mtafute huyu jamaa na upekue pekue kwenye nyuzi zake utakutana na huo uzi, nimeusahau jina lake na ni wa siku nyingi

Naiman utaupata tu
Uzi mzuri sana jinsi ya kufanya sex kiustad yaani, nilijaribu kwa mmoja mbona ilikuwa hatar

Nampa maua yake jamaa
 
Ni kweli aisee 😂😂

Anadai kuwa huwa ana ID nyingi ili kuwa na personalities tofauti tofauti ili aweze kuendana na kila member anaekutana nae humu jukwaani.

Ila adriz 😂😂 wewe ni mbuzii
Mimi mnyama tokea nasoma Advance mitaa ya upanga Dar , wanafunzi wenzangu walikuwa wanadhani Jasusi limeletwa , nilikuwa superstar
 
Back
Top Bottom