Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

Kila mtu ana umuhimu wake kwa nafasi yake,
hakuna mtu anaweza kua na umuhimu kuliko mwingine,
Binadamu hatufanani,na huu utofauti wetu ndio umeifikisha hii Dunia ya leo hapo tulipo,hata hii JF tungekua tunafana,kifikra,basi ingekua ina bore sana,

Binadamu tungekua tunafanana,basi hii Dunia ya leo isingekua na maendeleo yeyote ya maana,
Kila mwana JF ni special kwa upande wake,

Every individual has a side,a unique perspective,set of experiences,and potential to contribute to society.
Sawa lakini mtu mpe maua yake!

Mbona nyuzi za kijinga huwa mnaziponda sana kama mnakubaliana na kila mtu!
 
Sawa lakini mtu mpe maua yake!

Mbona nyuzi za kijinga huwa mnaziponda sana kama mnakubaliana na kila mtu!
Hizo nyuzi za kijinga inategemea na tafsiri ya mtu,nyuzi za kijinga ni za aina gani?
Sio kila uzi utapendwa na kila mtu au kuchukiwa na kila mtu,na hapo ndio inakuja tafsiri ya kua kila mtu ana umuhimu wake kwenye nafasi yake na kwa muda wake.
 
Kuna dogo humu anaitwaa adriz ana uwezo wa kucheza na akili yako kwa kukufikia kwa akaunti tofauti ndani ya muda mfupi.

Apewe maua yake.
Ni kweli aisee 😂😂

Anadai kuwa huwa ana ID nyingi ili kuwa na personalities tofauti tofauti ili aweze kuendana na kila member anaekutana nae humu jukwaani.

Ila adriz 😂😂 wewe ni mbuzii
 
Kuna dogo humu anaitwaa adriz ana uwezo wa kucheza na akili yako kwa kukufikia kwa akaunti tofauti ndani ya muda mfupi.

Apewe maua yake.
Kuna surprise inakuja , mzigo wa ID mpya kama 10 zipo sub nataka kuzitambulisha kuanzia mwezi huu , be attention .

Naanza upya , nipo GHAYO , gayo gang 🔥 🔥 . Baada ya ukoo wa Maghabiro uliozalisha Ghayos Gang kutamba sasa ni zamu ya kutambulisha ukoo mpya Jf
IMG_20260511_113854.jpg
 
Back
Top Bottom