Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

Ni mwana JF gani unadhania ana uwezo fulani wa kipekee wa ustadi fulani kutokana na michango na maandiko yake?

Kombe tunachukua mbona we jiandae tu kuleta posa 😁
1000145464.png
nawaogopa mashabiki😂💯
 
Ww nae akili yako ni viazi tu sasa jamii forum ina majukwaa zaidi ya 5 na kila jukwaa lina watu wake na wenye uwezo tofauti na usio fanana

Sasa mtu wa jukwaa la siasa utamfananisha na mtu wa jukwaa la mapenzi au jukwaa la michezo

Huwez taka kujua unavutiwa na nani kwa kuringanisha watu toka majukwaa tofauti na wenye
Mawazo na fikla tofauti

Ni sawa na kuuliza nani ni mchezaji bora duniani bira ya kuspecifai mchezo wenyewe
Mimi ntasema CR7 yule atasema messi mwingne atasema le brown james mwingne atasema anthon joshua, odel backham, lewes

Asante
 
Back
Top Bottom