Ni mwanamke wa aina gani unatamani kuwa nae lakini hujawahi kumpata?

Nyie ndio wanaume sasa[emoji3059][emoji3059]

Usipomjali baby wako nani atamjali jamani
Aisee inataka moyo sana....wanaume wengi ikiwemo mimi tushazoea kutoa posho baada ya kupiga show.

Sasa huu utamaduni wa kuhudumia aisee inataka ubatizo mpya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee inataka moyo sana....wanaume wengi ikiwemo mimi tushazoea kutoa posho baada ya kupiga show.

Sasa huu utamaduni wa kuhudumia aisee inataka ubatizo mpya [emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣
Ndio ushapenda hivyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio ushapenda hivyo
Amna,hata hayupo kwenye mipango...naweza nikasema ni some kind of maturation mindset ya kutoka kwenye uvulana na kwenda kwenye uanaume rasmi.
 
Mwenye hataki kuzaaaa, yaani yeye anataka kugegegdana tuu na kuenjoy life
 
Basi ubavu wako ni shoga angu mmoja wa kinigeria anaishi Norway huko.
Anapendana na wanaume wa ajabu ajabu kila siku wanatoana ngeu hadi police wanajulikana.
Kwenye sex story zake ndo hivyo hivyo kama wanyama 😬.
Wanaume zake fulu matattoo huwa namshangaa sana
 
Amna,hata hayupo kwenye mipango...naweza nikasema ni some kind of maturation mindset ya kutoka kwenye uvulana na kwenda kwenye uanaume rasmi.
So unamchezea tu binti wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…